Town Hustler
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 277
- 367
- Thread starter
- #141
Alitenda tukio wakati dish linayumbaNafikiri siyo lazima kila kitu tuilaumu Serikali, kwa waliona video ya tukio zima toka mwanzo, jamaa alipigwa sana na waumini wenzie hasa wale wanaovaa masuruali yanayoishia ugokoni wataniwa waiitwa 4Wheel alipigwa hasa kila sehemu ya mwili kwa kutumia ngumi, mateke, viatu na kila kilichokuwa karibu. Kuna madai kuwa kuna mtu alisema kuwa jamaa ni kafir hivyo watu wakapandwa na hasira. Ikumbukwe mzee Mwinyi alikuwa kipenzi cha wengi hivyo kwa kumpiga jamaa alivuna alichopanda.
Majirani na rafki zake tulimfahamu vizuri