TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Sema jamaa alikuwa na fujo sana mtaani ata wakati mwengine kupelekea kupigwa,pia kifo chake nimesikia kmetokana na fujo alianzisha mahali walikuwa hawajui kama ni chizi wakampiga na aliporudi nyumban kwao kalala hsubuhi kuamka amekutwa amekufa,ila sizan kama kipindi kile alipgwa sana maana surutan mara nyingi amekua yupo strong ukimuona na mtu wa hivi kama hujui ngumi umpgi kwan ananguvu zake.
 
Bado yule aliemchapa mzee warioba kofi
Waungwana

Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii

Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu

Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
 
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys

Baada ya hapo matatizo yakaanza
Lol, sikuwahi kujua kama alikuwa smart hivi upstairs!
Ukiunganisha dots unagundua huenda alikuwa mtu sahihi katika mazingira yasiyo sahihi ndio maana 'yakamchanganya'.
Mungu ampumuzishe panapostahihili
 
Kule alikopelekwa baada ya kupiga sirikale...ndio slimoanzia huo ugonjwa!
Mengine tujifunze kumezea tu!
maana ndio vile...kaisari naye yupo...

Nafikiri siyo lazima kila kitu tuilaumu Serikali, kwa waliona video ya tukio zima toka mwanzo, jamaa alipigwa sana na waumini wenzie hasa wale wanaovaa masuruali yanayoishia ugokoni wataniwa waiitwa 4Wheel alipigwa hasa kila sehemu ya mwili kwa kutumia ngumi, mateke, viatu na kila kilichokuwa karibu. Kuna madai kuwa kuna mtu alisema kuwa jamaa ni kafir hivyo watu wakapandwa na hasira. Ikumbukwe mzee Mwinyi alikuwa kipenzi cha wengi hivyo kwa kumpiga jamaa alivuna alichopanda.
 
[emoji46][emoji47][emoji47][emoji47]
kumbe jamaa alikuwa kichwa kiasi cha kusoma ilboru duuh.
Kweli usimdharau usiyemjua
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys

Baada ya hapo matatizo yakaanza
 
Aisee watu walikosa kazi na kupata adhabu kali kwa kibao kile.
 
Sema jamaa alikuwa na fujo sana mtaani ata wakati mwengine kupelekea kupigwa,pia kifo chake nimesikia kmetokana na fujo alianzisha mahali walikuwa hawajui kama ni chizi wakampiga na aliporudi nyumban kwao kalala hsubuhi kuamka amekutwa amekufa,ila sizan kama kipindi kile alipgwa sana maana surutan mara nyingi amekua yupo strong ukimuona na mtu wa hivi kama hujui ngumi umpgi kwan ananguvu zake.
Wakati yupo shule alikuwa mpole na mkimya
Hizo fujo zimeletwa na uchizi tu
 
Lol, sikuwahi kujua kama alikuwa smart hivi upstairs!
Ukiunganisha dots unagundua huenda alikuwa mtu sahihi katika mazingira yasiyo sahihi ndio maana 'yakamchanganya'.
Mungu ampumuzishe panapostahihili
Uchizi ni ugonjwa tu km magonjwa mengine
 
Back
Top Bottom