Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Innalillah wainna illayhi rajiunWaungwana
Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii
Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu
Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Zimethibitishwa lakini?