Wewe umesoma Warsaw...na ni mtoto wa 2005/2007 hapo katinasikia alipokua Tabora Boy's aliwahi kumpiga mateke Second Master alipokuja kukagua wanafunzi waliojificha msikitini hawaendi class.
Sababu ya kumpiga mateke ni kumzuia mwalim ambae ni kafiri asikanyage ndani ya msikiti ataweka najisi.
pia nasikia alimalizaga topic zote za Advance akiwa form five hivo akawa anaishi msikitini tu. Akapigwa suspension akarudi kwao mpaka NECTA.
hivi ndio kamaliza darasa moja na kina Halord Madeha
Mgeni Makambi
Nila Jackson
Hansbert Kishamba
Paul Kipeja
Deus Opiyo
Laana ilikuwa inamfuataWaungwana
Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii
Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu
Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Kila mtu hufa kwa wakati wakeLaana ilikuwa inamfuata
Hahaaa
Mkuu, hivi ni kwanini umeamua kutumia AVATAR ya mwanamke mrembo wakati wewe ni kidume?Basi wewe labda ulikua darasa moja nyuma yake. Maana issue ya kumpiga Masele teke ilivuma sana shule nzima. Mpaka kukawa na bifu la waalimu makafiri na wanafunz waislamu wanaoshinda kule jidi.
Walimu walitaka msikiti ufungwe kabisa, sema bahati nzuri Headmaster Mrisho alikua muislamu ndio ikawa nafuu yao.
Na pia waliokua wanalala kule Jidi wote walikua wanafaulu vizuri tu mfano kina Katuta Ramadhani, Masumbuko Sadiki.
Kumaliza syllabus ndio kulipelekea apigwe sanspaa sijui wewe ulikuaga haupo shule labda. Tena siku hiyo Paredi waliitwa kama wanne na IBRA akiwemo, wakasepeshwa home.
Nachoshangaa pamoja na kumaliza syllabus mapema bado jamaa alipiga division three form six.
Halafu wakati kafika pale form five akawa anawauliza wanafunz waboys eti:
"Hivi na nyie hapa huwa mnasoma huku mna mawazo ya kuwa ma-TO kama Ilboru"
Haya matukio yote yanatokea wewe ulikuaga wapi?? Ulikua unajichimbia chemba za Umuofia pale kwa David Lachman jamaa aliehama kutoka HGL kwenda PCB kisha akatoka na Division Zero form six yenu.
Mjifunzege, nguvu ya msamaha hiyo! kafa kijana mzee kabaki! je kwani huyu kijana alipata nafasi ya kumuomba Rais mstaaf Mwinyi msamaha?Mwinyi alimsamehe
Nafikiri imani yake ilimruhusu kuchukua hiyo hatuaMjifunzege, nguvu ya msamaha hiyo! kafa kijana mzee kabaki! je kwani huyu kijana alipata nafasi ya kumuomba Rais mstaaf Mwinyi msamaha?
kama kijana hakufanya hivo watu wake wa karibu walifanya hivo? je watafanya?
Au aliongozwa na kiburi cha uzima? amewekwa pahala gani huko kuzimu unadhani!
Nape na Makamba wameomba! wako salama sana! hata wakifa leo poa tu! kazi sasa inabaki kwa aliyeombwa!
Mleta mada Mwinyi alihudhuria? je wewe uko kwenye mazishi hapo?
Usichekecheke nenda kawashauri waombe msamaha kwa niaba ya Marehemu, haraka sana, kabla Mwinyi hajafa, usipofanya hivo na wewe umo!
wote Manzi ga Nyanza tu!
Usiniulize kwa nini!
hivi bado hajapatikana wa kumchapa kofi huyu wa chatoWaungwana
Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii
Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu
Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Kwakweli inashangaza sana! Kidume tena aliyesoma shule za boys tupu anajiitaje mama debora? Au huko shuleni walikuwa wanampumulia?Mkuu, hivi ni kwanini umeamua kutumia AVATAR ya mwanamke mrembo wakati wewe ni kidume?
Musiyakuze kiswahili swahili, mama Debora ni kipenzi chake cha moyo japo wameachana! bado anamkuna kunako moyo/pendaKwakweli inashangaza sana! Kidume tena aliyesoma shule za boys tupu anajiitaje mama debora? Au huko shuleni walikuwa wanampumulia?
Hawa ndio wanaosumbua huko kwenye mitandao kama badoo, hitwe n.k kwa kuomba NAULI Wanaume wenzao wakijifanya ni wadada warembo. Hatari sana.Kwakweli inashangaza sana! Kidume tena aliyesoma shule za boys tupu anajiitaje mama debora? Au huko shuleni walikuwa wanampumulia?
ITulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys
Baada ya hapo matatizo yakaanza
Mi naamini uchizi ni ugonjwa tuAlikutana na brain washer wakampa zile akili za kina al Baghdad na Jihad John basi,elimu yake inakuwa haina maaana tena, hahahahahahaI
duh, kumbe jamaa alisoma
mi nilidhani ni mtu fulani ambaye hakua amesoma
Alikuwa na dalili zote za uchizi uko Tabora boys?A level alipataje matokeo?
Weeee chato mtamalizana hapohapo! Si mtu yule!hivi bado hajapatikana wa kumchapa kofi huyu wa chato
Kofi ukipigwa linalia pwaaaaa....kibao ukipigwa kinakuwa kikavu kinalia paaaaTofauti ya kofi na kibao ni ipi ? Kiswahili kipana
Mama yake alimuombea msamahaMjifunzege, nguvu ya msamaha hiyo! kafa kijana mzee kabaki! je kwani huyu kijana alipata nafasi ya kumuomba Rais mstaaf Mwinyi msamaha?
kama kijana hakufanya hivo watu wake wa karibu walifanya hivo? je watafanya?
Au aliongozwa na kiburi cha uzima? amewekwa pahala gani huko kuzimu unadhani!
Nape na Makamba wameomba! wako salama sana! hata wakifa leo poa tu! kazi sasa inabaki kwa aliyeombwa!
Mleta mada Mwinyi alihudhuria? je wewe uko kwenye mazishi hapo?
Usichekecheke nenda kawashauri waombe msamaha kwa niaba ya Marehemu, haraka sana, kabla Mwinyi hajafa, usipofanya hivo na wewe umo!
wote Manzi ga Nyanza tu!
Usiniulize kwa nini!