Mjifunzege, nguvu ya msamaha hiyo! kafa kijana mzee kabaki! je kwani huyu kijana alipata nafasi ya kumuomba Rais mstaaf Mwinyi msamaha?
kama kijana hakufanya hivo watu wake wa karibu walifanya hivo? je watafanya?
Au aliongozwa na kiburi cha uzima? amewekwa pahala gani huko kuzimu unadhani!
Nape na Makamba wameomba! wako salama sana! hata wakifa leo poa tu! kazi sasa inabaki kwa aliyeombwa!
Mleta mada Mwinyi alihudhuria? je wewe uko kwenye mazishi hapo?
Usichekecheke nenda kawashauri waombe msamaha kwa niaba ya Marehemu, haraka sana, kabla Mwinyi hajafa, usipofanya hivo na wewe umo!
wote Manzi ga Nyanza tu!
Usiniulize kwa nini!