TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

nasikia alipokua Tabora Boy's aliwahi kumpiga mateke Second Master alipokuja kukagua wanafunzi waliojificha msikitini hawaendi class.

Sababu ya kumpiga mateke ni kumzuia mwalim ambae ni kafiri asikanyage ndani ya msikiti ataweka najisi.

pia nasikia alimalizaga topic zote za Advance akiwa form five hivo akawa anaishi msikitini tu. Akapigwa suspension akarudi kwao mpaka NECTA.

hivi ndio kamaliza darasa moja na kina Halord Madeha
Mgeni Makambi
Nila Jackson
Hansbert Kishamba
Paul Kipeja
Deus Opiyo
Wewe umesoma Warsaw...na ni mtoto wa 2005/2007 hapo kati
 
Waungwana

Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii

Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu

Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Laana ilikuwa inamfuata

Hahaaa
 
Basi wewe labda ulikua darasa moja nyuma yake. Maana issue ya kumpiga Masele teke ilivuma sana shule nzima. Mpaka kukawa na bifu la waalimu makafiri na wanafunz waislamu wanaoshinda kule jidi.

Walimu walitaka msikiti ufungwe kabisa, sema bahati nzuri Headmaster Mrisho alikua muislamu ndio ikawa nafuu yao.
Na pia waliokua wanalala kule Jidi wote walikua wanafaulu vizuri tu mfano kina Katuta Ramadhani, Masumbuko Sadiki.

Kumaliza syllabus ndio kulipelekea apigwe sanspaa sijui wewe ulikuaga haupo shule labda. Tena siku hiyo Paredi waliitwa kama wanne na IBRA akiwemo, wakasepeshwa home.

Nachoshangaa pamoja na kumaliza syllabus mapema bado jamaa alipiga division three form six.

Halafu wakati kafika pale form five akawa anawauliza wanafunz waboys eti:
"Hivi na nyie hapa huwa mnasoma huku mna mawazo ya kuwa ma-TO kama Ilboru"

Haya matukio yote yanatokea wewe ulikuaga wapi?? Ulikua unajichimbia chemba za Umuofia pale kwa David Lachman jamaa aliehama kutoka HGL kwenda PCB kisha akatoka na Division Zero form six yenu.
Mkuu, hivi ni kwanini umeamua kutumia AVATAR ya mwanamke mrembo wakati wewe ni kidume?
 
Mwinyi alimsamehe
Mjifunzege, nguvu ya msamaha hiyo! kafa kijana mzee kabaki! je kwani huyu kijana alipata nafasi ya kumuomba Rais mstaaf Mwinyi msamaha?

kama kijana hakufanya hivo watu wake wa karibu walifanya hivo? je watafanya?

Au aliongozwa na kiburi cha uzima? amewekwa pahala gani huko kuzimu unadhani!

Nape na Makamba wameomba! wako salama sana! hata wakifa leo poa tu! kazi sasa inabaki kwa aliyeombwa!

Mleta mada Mwinyi alihudhuria? je wewe uko kwenye mazishi hapo?

Usichekecheke nenda kawashauri waombe msamaha kwa niaba ya Marehemu, haraka sana, kabla Mwinyi hajafa, usipofanya hivo na wewe umo!

wote Manzi ga Nyanza tu!

Usiniulize kwa nini!
 
Nafikiri imani yake ilimruhusu kuchukua hiyo hatua
 
Waungwana

Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii

Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu

Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
hivi bado hajapatikana wa kumchapa kofi huyu wa chato
 
Kwakweli inashangaza sana! Kidume tena aliyesoma shule za boys tupu anajiitaje mama debora? Au huko shuleni walikuwa wanampumulia?
Musiyakuze kiswahili swahili, mama Debora ni kipenzi chake cha moyo japo wameachana! bado anamkuna kunako moyo/penda
 
Kwakweli inashangaza sana! Kidume tena aliyesoma shule za boys tupu anajiitaje mama debora? Au huko shuleni walikuwa wanampumulia?
Hawa ndio wanaosumbua huko kwenye mitandao kama badoo, hitwe n.k kwa kuomba NAULI Wanaume wenzao wakijifanya ni wadada warembo. Hatari sana.
 
Alikutana na brain washer wakampa zile akili za kina al Baghdad na Jihad John basi,elimu yake inakuwa haina maaana tena, hahahahahaha
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys

Baada ya hapo matatizo yakaanza
I
 
Huyu walipomtoa hapo alichezea sana
Kichapo sema kichwani hakuwa sawa
Huyu

Ova
 
Mjifunzege, nguvu ya msamaha hiyo! kafa kijana mzee kabaki! je kwani huyu kijana alipata nafasi ya kumuomba Rais mstaaf Mwinyi msamaha?

kama kijana hakufanya hivo watu wake wa karibu walifanya hivo? je watafanya?

Au aliongozwa na kiburi cha uzima? amewekwa pahala gani huko kuzimu unadhani!

Nape na Makamba wameomba! wako salama sana! hata wakifa leo poa tu! kazi sasa inabaki kwa aliyeombwa!

Mleta mada Mwinyi alihudhuria? je wewe uko kwenye mazishi hapo?

Usichekecheke nenda kawashauri waombe msamaha kwa niaba ya Marehemu, haraka sana, kabla Mwinyi hajafa, usipofanya hivo na wewe umo!

wote Manzi ga Nyanza tu!

Usiniulize kwa nini!
Mama yake alimuombea msamaha
 
Back
Top Bottom