Town Hustler
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 277
- 367
- Thread starter
- #221
Kaka mimi sio Mwialam.....Mkuu samahani kama una ufahamu na hili ninalokuuliza...Hivi shekhe Majid bado ndio imamu wa hapo msikitini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mimi sio Mwialam.....Mkuu samahani kama una ufahamu na hili ninalokuuliza...Hivi shekhe Majid bado ndio imamu wa hapo msikitini?.
Usikute aliokuwa anawakimbiza class walishatoboa yeye hakieleweki lazima uwe chizi
Alisoma na kina shishi nn Kuna jamaa mmoja alichagukiwa kibaaha sekondari toka hapo umoja
Darasa la Saba 2000 kitu Kama hicho
Usijali mkuu.Kaka mimi sio Mwialam.....
Hahahaa,mademu zetu wa woso hao.Yeah uko sahihi kabisa mmmmh ulikuwa "woso" wewe bila shaka!!!
Sawabu!Watakua wamemsomea albadiri afe hili wapate sawabu kwa muddy......
Madogo yamejazana hapa jukwaani.Asante kwa taarifa mkuu. Ninaona wengi wanauliza Mzee alinaswa lini kibao. Ni wazi umeshapita muda mrefu kiasi baadhi ya watu hapa walikuwa hawajazaliwa, au walikuwa wadogo sana.
Poleni kwa msiba hapo mabibo na jamii yote mliguswa na msiba huu
Nimekumbuka huyo jamaa aliyeenda Kibaha alikuwa weupe,mwembamba mrefu kiasi anakaa Loyola barabarani kwenye karibu na kona pale
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni zaidi ya miaka mitano. Maana ilikuwa miaka ya 90.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka ya 90 sa hv ni over 20 yra bwana. Mitano tena!
Hilo ni jibu kwa mtu aliesema ni karibu miaka 5 iliyopita. That's why nikamjibu hivyo.
Btw; over 5 ipo included kwenye over 20.
Umenikumbusha pia kuna demu aliitwa Sophia bonge alikuwa abagegedwa na Ticha Kilapilo naye tulishangaa alichaguliwa VitukaYes
Tena alipata zari hakuwa mzuri Sana clas kiasi Cha kuchaguliwa kibaha
Nahisi alikas na kipanga kwenye mtihani[emoji6][emoji6]
Yes ila hill LA kumpiga Masele sikuwah kuliskia pia hakuwah pewa suspension ,kuhusu kumaliza syllabus in kawaida ya Waboizia,,Hao uliowataja aliomaliza nao ni Harod Makambi Nila na Opiyo Tu wengine walikua Nyuma,Bila Shaka utakua ulikua JIRAN palenasikia alipokua Tabora Boy's aliwahi kumpiga mateke Second Master alipokuja kukagua wanafunzi waliojificha msikitini hawaendi class.
Sababu ya kumpiga mateke ni kumzuia mwalim ambae ni kafiri asikanyage ndani ya msikiti ataweka najisi.
pia nasikia alimalizaga topic zote za Advance akiwa form five hivo akawa anaishi msikitini tu. Akapigwa suspension akarudi kwao mpaka NECTA.
hivi ndio kamaliza darasa moja na kina Halord Madeha
Mgeni Makambi
Nila Jackson
Hansbert Kishamba
Paul Kipeja
Yaqubu
Deus Opiyo
Bwana Yesu asifiweInnalillah wainnailillah raijuun
Yes ila hill LA kumpiga Masele sikuwah kuliskia pia hakuwah pewa suspension ,kuhusu kumaliza syllabus in kawaida ya Waboizia,,Hao uliowataja aliomaliza nao ni Harod Makambi Nila na Opiyo Tu wengine walikua Nyuma,Bila Shaka utakua ulikua JIRAN pale
Dah... maskini ibra... alinitangulia ilboru kidato kimoja... tulikua tukimuita ibra ngoma..... RIP ibra
Kamchape ndondi jiwe au bashite! Utakuwa famous kuliko waoMakofi muda mwingine yanasaidia ukimchapa asiyechapwa.Waliofariki Leo Ni wengi lkn hakuna wanaojua zaidi ya ndugu na jamaa.Sijui na mie nimlambe kelbu Nani ili nisijekufa kama kuku maana sitarajii kuwa star kwa kuimba,kucheza Wala fani yoyote pendwa.
hahahaha acha kabisa mkuu!!! Ila walikuwa wanajifanya kuturingia..Hahahaa,mademu zetu wa woso hao.