The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mshale na watu wasiojulikana.T
ukio hilo limetokea usiku wa Juni 26 mwaka huu majira ya saa nne, ambapo marehemu Paul Mahindi mwenye umri wa miaka 39, anadaiwa kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wakimkinbiza kisha kumrushia mshale na kumjeruhi eneo la shingo.