Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ujinga umezidi nchi hii wacha yawakute.
Una ujinga mwingi mkuu...Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
LfHawa Ccm waliahidi Noah, sasa wanaleta baiskeli ndio nini sasa?
NA IBILISI WAOYATAJUANA YENYEWE !
Duhhh!!!!
Hakuna anayefurahia kifo cha "kusababishwa" cha binadamu awaye yeyote...Kwahiyo akiuwawa mtu wa CCM mnapata furaha. Haipaswi kuwa hivyo kila roho ya binadamu inapotolewa pasina na hatia ni udharimu. Sote tukemee bila kujali utikadi za kisiasa au imani za kidini. Ubinadamu kwanza.
Kwa Mdude vipi, wamekamata hata mmoja..?Polisi ikamate wote waliohusika