Huyo ni mlalahoi mdogo sana na hana kosa lolote. Kina Makonda ndiyo wanatakiwa kufanyiwa haya. Au pengine wala siyo hiyo baiskeli imemponza.HAPANA.
Hawa wanaopata hizi baiskeli ni watu "WAJINGA" tu, wasiojuwa lolote. Kuwatoa roho hawa ni kuinajisi tu nchi yetu. Hawa ni waTanzania wenzetu wanaohitaji kuelimishwa tu kuachana na UJINGA wao wa kutumiwa kama chambo. Hawa wanatakiwa kufikishiwa maana ya "NO REFORM, NO ELECTION". Wakilijuwa vyema hili, hayo mabaiskeli yasingekuwa na maana yoyote tena.
Hayo yanayowapata hao yanawafaa zaidi "GENGE" wenyewe wanaofanya ushenzi na kuiharibu nchi yetu kwa kutaka tu kuendelea kutufanya watumwa wao.
Hiyo uliyoweka hapa siyo habari njema hata kidogo.
Ingependeza zaidi kulivunja vunja libaiskeli lenyewe, kuliko kutoa roho yake. Samia na GENGE lake hili la kupoteza mtwana mmoja halimstuwi chochote.
Lingetimika neno la kiswahili ujumbe huu ungewafikia wengi Sana.NO REFORM, NO ELECTION".
Kawakamate weweKwa Mdude vipi, wamekamata hata mmoja..?
Wanasema ni VITENDEA KAZIHawa Ccm waliahidi Noah, sasa wanaleta baiskeli ndio nini sasa?
Nani alimuua mzee kibao na kwann?Polisi ikamate wote waliohusika
Kaisaidie polisi kuwapataNani alimuua mzee kibao na kwann?
Mdude yupo wapi?
;en sanane yupo wapi?
Ulisikia jeshi la polisi lina jalada mahali?Kaisaidie polisi kuwapata
Aisee hii "No Reform, No Election," kumbe ni kweli...hakika wananchi washaichoka CCM kwa kweli.Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mshale na watu wasiojulikana.T
ukio hilo limetokea usiku wa Juni 26 mwaka huu majira ya saa nne, ambapo marehemu Paul Mahindi mwenye umri wa miaka 39, anadaiwa kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wakimkinbiza kisha kumrushia mshale na kumjeruhi eneo la shingo.
Abadilishe rangi tuKijana mmoja kijijini hapa yeye kasema ataiweka ndani tu hataifunga na kuitumia kwani ana mbili anazo zake kabla hajapewa hiyo