Kijana aliyepewa baiskeli ya Rais Samia auawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulikana Manyara

Kijana aliyepewa baiskeli ya Rais Samia auawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulikana Manyara

Sidhani kama sababu ya baiskeli,hao wanaweza kuwa na sababu zao binafsi. Baiskeli kwani amepewa peke yake kijiji kizima.
 
Miafrika,
kwanini umuue mtu kisa kapokea baskeli kwa njaa zake,yaani unaenda kutoa roho ya mtu kisa kwanini kapokea baskeli ya kijani,
alikua na njaa tu kapata fursa asichukue
Huyo hajauwawa na mtu...

Mauti ni mjumbe tu aliyetumwa kumpata aliyekuwa halali yake kwa siku hiyo...

Umechukua baiskeli iliyobeba roho ya mauti unategemea nini kama sio kufa bila kujali utakufaje..?

Kupokea rushwa ni kukaribisha mauti..!!
 
Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...

Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mshale na watu wasiojulikana.T

ukio hilo limetokea usiku wa Juni 26 mwaka huu majira ya saa nne, ambapo marehemu Paul Mahindi mwenye umri wa miaka 39, anadaiwa kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wakimkinbiza kisha kumrushia mshale na kumjeruhi eneo la shingo.

Yote kheri.
 
Akufwe TU....
 
Inaweza ikawa mambo ya dhuluma,kuchukuliana madem nk
Baiskeli mhhhh

Ova
 
Ulisikia jeshi la polisi lina jalada mahali?
Hujasekia dereva wa lisu mpaka leo anasubiriwa ili akahojiwe ndo uchunguzi uanze? Kwahiyo angekufa kusingekuwa na uchunguzi???
Mzee kibao shauri lake limefikia wapi??,
Keyboard warrior acha kupoteza muda. Hayo maswali yako kayaulize kituo cha polisi kilichopo jirani nawe
 
Lingetimika neno la kiswahili ujumbe huu ungewafikia wengi Sana.
EEEEeeeNHEEEEEN!
Bado unayo mashaka juu ya uelewa wa watu kuhusu maneno hayo machache? Lugha kamwe haiwezi kuwa kipingamizi katika hali kama hii tuliyo nayo sasa.
Mtu yeyote aliyesoma hadi darasa la saba; hayo maneno si shida, hasa yanapo rudiwa rudiwa na kutafsiriwa na kuelewa maudhui yanayoyahusu hayo maneno. Hili usiwe na shaka nalo.
Tena njia hii ndiyo inayochochea zaidi watu kutaka kujuwa ni nini hasa kinasemwa.
 
Back
Top Bottom