The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
HAPANA.
View: https://youtu.be/K5sKW6qpBkk?si=UPyWA9J1raMOLuhLMnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Watu wanataka madaraka ya utawala na sharti ni kutoa damu za kutosha..
Otherwise, hizo ni sadaka za kupeleka damu kwenye madhabahu za majini ya SSH...
Msije kusema hamkuambiwa na kuonywa..
Kazi na matokeo....Tusonge mbeleMnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mshale na watu wasiojulikana.T
ukio hilo limetokea usiku wa Juni 26 mwaka huu majira ya saa nne, ambapo marehemu Paul Mahindi mwenye umri wa miaka 39, anadaiwa kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wakimkinbiza kisha kumrushia mshale na kumjeruhi eneo la shingo.
Wasiojilikana sasa wanaanza kubalance matukio ... basi mtu mmoja mwenye Baisikeli ya kijani kauwawa matangazo meengi (ilisikika sauti ya Raisi wa Malawi akilihutubia Taifa)Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mshale na watu wasiojulikana.T
ukio hilo limetokea usiku wa Juni 26 mwaka huu majira ya saa nne, ambapo marehemu Paul Mahindi mwenye umri wa miaka 39, anadaiwa kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wakimkinbiza kisha kumrushia mshale na kumjeruhi eneo la shingo.
Kwahiyo akiuwawa mtu wa CCM mnapata furaha. Haipaswi kuwa hivyo kila roho ya binadamu inapotolewa pasina na hatia ni udharimu. Sote tukemee bila kujali utikadi za kisiasa au imani za kidini. Ubinadamu kwanza.Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...