Kijana aliyepewa baiskeli ya Rais Samia auawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulikana Manyara

Huyo ni mlalahoi mdogo sana na hana kosa lolote. Kina Makonda ndiyo wanatakiwa kufanyiwa haya. Au pengine wala siyo hiyo baiskeli imemponza.
 
Kwa vyovyote vile ipo sababu nyingine.
Japo vitu venye nembo ya ccm wengi wetu hatu pendezwi navyo .
 
Miafrika,
kwanini umuue mtu kisa kapokea baskeli kwa njaa zake,yaani unaenda kutoa roho ya mtu kisa kwanini kapokea baskeli ya kijani,
alikua na njaa tu kapata fursa asichukue
 
Hii ni kafara tu ya uchaguzi kutoka kwa alie wapa.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kumbe watu wasiojulikana hawatoki ccm ila wanatoka upande wa pili
 
Kijana mmoja kijijini hapa yeye kasema ataiweka ndani tu hataifunga na kuitumia kwani ana mbili anazo zake kabla hajapewa hiyo
 
Kaisaidie polisi kuwapata
Ulisikia jeshi la polisi lina jalada mahali?
Hujasekia dereva wa lisu mpaka leo anasubiriwa ili akahojiwe ndo uchunguzi uanze? Kwahiyo angekufa kusingekuwa na uchunguzi???
Mzee kibao shauri lake limefikia wapi??,
 
Aisee hii "No Reform, No Election," kumbe ni kweli...hakika wananchi washaichoka CCM kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…