Huyo hajauwawa na mtu...Miafrika,
kwanini umuue mtu kisa kapokea baskeli kwa njaa zake,yaani unaenda kutoa roho ya mtu kisa kwanini kapokea baskeli ya kijani,
alikua na njaa tu kapata fursa asichukue
Yote kheri.Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mshale na watu wasiojulikana.T
ukio hilo limetokea usiku wa Juni 26 mwaka huu majira ya saa nne, ambapo marehemu Paul Mahindi mwenye umri wa miaka 39, anadaiwa kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wakimkinbiza kisha kumrushia mshale na kumjeruhi eneo la shingo.
Akufwe TU....Mnaozipokea hizo baiskeli, mnashauriwa kuzibadilisha rangi na kuiuza ndiyo salama yenu...
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Lambo, wilayani Hanang mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mshale na watu wasiojulikana.T
ukio hilo limetokea usiku wa Juni 26 mwaka huu majira ya saa nne, ambapo marehemu Paul Mahindi mwenye umri wa miaka 39, anadaiwa kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wakimkinbiza kisha kumrushia mshale na kumjeruhi eneo la shingo.
Keyboard warrior acha kupoteza muda. Hayo maswali yako kayaulize kituo cha polisi kilichopo jirani naweUlisikia jeshi la polisi lina jalada mahali?
Hujasekia dereva wa lisu mpaka leo anasubiriwa ili akahojiwe ndo uchunguzi uanze? Kwahiyo angekufa kusingekuwa na uchunguzi???
Mzee kibao shauri lake limefikia wapi??,
EEEEeeeNHEEEEEN!Lingetimika neno la kiswahili ujumbe huu ungewafikia wengi Sana.