Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza
Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo
Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla apewe $ 2,000,000 ili kuvuruga taifa bila kutaja ithibati zifuatazo
. Huyo kijana ni nani
. Hiyo pesa kapewa na nani
. Je kapewa cash auto kaingiziwa kwenye account ya bank?
. Ni bank gani hiyo?
. Naye kazigawa kwa akina nani?
Kama imejulikana kwenye mamlaka kwamba kapokea kiasi hicho cha pesa kwa nia ovu na bado akaachwa tu aendelee basi tatizo ni kubwa zaidi kuliko tunavyodhani
Kubwa na baya zaidi tuna usalama wa taifa tuna vyombo vya ulinzi na usalama.. Je wote hawa waliruhudu mtu mmoja kijana fukara aliyepigika apawe mahela yote hayo na bado wamwache tu aendelee na mipango ovu? Hili linawezekana vipi?
Katika nyakati tulizo nazo fact na ithibati ni muhimu na ni lazima ili mtu asionekane mzushi na mpiga porojo
Kule Tiktok kuna kijana kajizolea umaarufu mkubwa kwakuwa anatoa tuhuma zenye fact na ithibati
Sijui ni nani yuko nyuma ya huu mchezo na anania gani na hili taifa