Hawa wanadhani wanajiokoa kumbe ndo wanazidi kuzama zaidi .Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza
Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo
Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla apewe $ 2,000,000 ili kuvuruga taifa bila kutaja ithibati zifuatazo
. Huyo kijana ni nani
. Hiyo pesa kapewa na nani
. Je kapewa cash auto kaingiziwa kwenye account ya bank?
. Ni bank gani hiyo?
. Naye kazigawa kwa akina nani?
Kama imejulikana kwenye mamlaka kwamba kapokea kiasi hicho cha pesa kwa nia ovu na bado akaachwa tu aendelee basi tatizo ni kubwa zaidi kuliko tunavyodhani
Kubwa na baya zaidi tuna usalama wa taifa tuna vyombo vya ulinzi na usalama.. Je wote hawa waliruhudu mtu mmoja kijana fukara aliyepigika apawe mahela yote hayo na bado wamwache tu aendelee na mipango ovu? Hili linawezekana vipi?
Katika nyakati tulizo nazo fact na ithibati ni muhimu na ni lazima ili mtu asionekane mzushi na mpiga porojo
Kule Tiktok kuna kijana kajizolea umaarufu mkubwa kwakuwa anatoa tuhuma zenye fact na ithibati
Sijui ni nani yuko nyuma ya huu mchezo na anania gani na hili taifa
Madenge huwaaga ni ccm..
Ndugu yangu hizo ni bongo movies
Mbona kama chadema mjamaaMadenge huwaaga ni ccm..
Mshiko lakini umetembezwa sana.Ndugu yangu hizo ni bongo movies
Muda huu siyo muda wa kujiuliza mara mbili mbili kuhusu nia ya kijana wa Tiktok aliye upande wetu.Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza
Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo
Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla apewe $ 2,000,000 ili kuvuruga taifa bila kutaja ithibati zifuatazo
. Huyo kijana ni nani
. Hiyo pesa kapewa na nani
. Je kapewa cash auto kaingiziwa kwenye account ya bank?
. Ni bank gani hiyo?
. Naye kazigawa kwa akina nani?
Kama imejulikana kwenye mamlaka kwamba kapokea kiasi hicho cha pesa kwa nia ovu na bado akaachwa tu aendelee basi tatizo ni kubwa zaidi kuliko tunavyodhani
Kubwa na baya zaidi tuna usalama wa taifa tuna vyombo vya ulinzi na usalama.. Je wote hawa waliruhudu mtu mmoja kijana fukara aliyepigika apawe mahela yote hayo na bado wamwache tu aendelee na mipango ovu? Hili linawezekana vipi?
Katika nyakati tulizo nazo fact na ithibati ni muhimu na ni lazima ili mtu asionekane mzushi na mpiga porojo
Kule Tiktok kuna kijana kajizolea umaarufu mkubwa kwakuwa anatoa tuhuma zenye fact na ithibati
Sijui ni nani yuko nyuma ya huu mchezo na anania gani na hili taifa
Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza

Sijui ni nani yuko nyuma ya huu mchezo na anania gani
Jamaa hajaongopa, ni kweli kbs huyo kijama ni yule mwenye ako anamiliki kontena la silaha, ni huyo ila anaogopa kusema, chanzo cha kuvurugika uchsguzi ni kontena, muelewe.Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza
Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo
Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla apewe $ 2,000,000 ili kuvuruga taifa bila kutaja ithibati zifuatazo
. Huyo kijana ni nani
. Hiyo pesa kapewa na nani
. Je kapewa cash auto kaingiziwa kwenye account ya bank?
. Ni bank gani hiyo?
. Naye kazigawa kwa akina nani?
Kama imejulikana kwenye mamlaka kwamba kapokea kiasi hicho cha pesa kwa nia ovu na bado akaachwa tu aendelee basi tatizo ni kubwa zaidi kuliko tunavyodhani
Kubwa na baya zaidi tuna usalama wa taifa tuna vyombo vya ulinzi na usalama.. Je wote hawa waliruhudu mtu mmoja kijana fukara aliyepigika apawe mahela yote hayo na bado wamwache tu aendelee na mipango ovu? Hili linawezekana vipi?
Katika nyakati tulizo nazo fact na ithibati ni muhimu na ni lazima ili mtu asionekane mzushi na mpiga porojo
Kule Tiktok kuna kijana kajizolea umaarufu mkubwa kwakuwa anatoa tuhuma zenye fact na ithibati
Sijui ni nani yuko nyuma ya huu mchezo na anania gani na hili taifa
Hii nchi tushachezewa sana akili, na kufanywa watoto kwa kipindi kirefu sana.Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo
Hii ndio evidence? Tukiitwa watanzania mbumbumbu tuwe tunakubali tu!
Episode ya 1; mlisema vijana walioandamana walitoka nchi jirani!
Mshiko lakini umetembezwa sana.
All this is because the CCM political thugs do not want to accept responsibility for the precarious political climate!Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza
Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili kuongea uongo
Inawezekana vipi kijana aliyekuwa kapigika kimaisha 'anayesongesha' mitandaoni ghafla apewe $ 2,000,000 ili kuvuruga taifa bila kutaja ithibati zifuatazo
. Huyo kijana ni nani
. Hiyo pesa kapewa na nani
. Je kapewa cash auto kaingiziwa kwenye account ya bank?
. Ni bank gani hiyo?
. Naye kazigawa kwa akina nani?
Kama imejulikana kwenye mamlaka kwamba kapokea kiasi hicho cha pesa kwa nia ovu na bado akaachwa tu aendelee basi tatizo ni kubwa zaidi kuliko tunavyodhani
Kubwa na baya zaidi tuna usalama wa taifa tuna vyombo vya ulinzi na usalama.. Je wote hawa waliruhudu mtu mmoja kijana fukara aliyepigika apawe mahela yote hayo na bado wamwache tu aendelee na mipango ovu? Hili linawezekana vipi?
Katika nyakati tulizo nazo fact na ithibati ni muhimu na ni lazima ili mtu asionekane mzushi na mpiga porojo
Kule Tiktok kuna kijana kajizolea umaarufu mkubwa kwakuwa anatoa tuhuma zenye fact na ithibati
Sijui ni nani yuko nyuma ya huu mchezo na anania gani na hili taifa
Unaweza kukuta mwegulu ndo kasoma hicho kipost huko x na kukurupuka kuutangazia umma yani! Genzee watawazalisha mwaka huu hamna anayejitambua kbs among kikundi cha mama yao na msoga ndio kajificha kbs na mipasho yke iliyozoeleka! Kuna vaccum kubwa sana ndani ya nchi kwa kweli
Mwigulu ni debe tupu tangu zamani.Hawa wanadhani wanajiokoa kumbe ndo wanazidi kuzama zaidi .
Propaganda kweli zipo lakini Kwa mtu timamu huwezi kumtgemea mwigulu katika kitengo Cha propaganda