PostGE2025 Kijana aliyepewa dola milion mbili kuvuruga taifa ni nani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Achana na hizo propaganda. Serikali ndo ina miliki mifumo ya kuingiza pesa nchini. Ina maana waliruhusu vipi hizo hela kuingia. Ndo maana polepole anasema ni wahuni.
 
Mpaka sasa kuna anaye muamini Mwigulu?
Kuna clip inatembea inayosema, "ukitaka kuua taasisi ajiri ndugu, rafiki au mtoto au mpwa au shemeji" kuna nyingine inayosema walio uawa sio watanzania. Iko nyingine isemayo bei ya kuungabisha umeme imeshuka, lkn pia kuna nyingine inasema hakuna kitu kama kuwekewa umeme iwe ni zaidi ya mno.
What can you conclude.
 
Ni miezi mitano sasa , uongo uliongelewa katika hadhara umeshindwa kuthubitishwa.

Na imeonekana kama inataka kusahaulishwa makusudi.

Watoke watueleze huyu mtu ni nani kisha waeleze maelfu ya maiti ambazo ndugu zao hawajazipata ziko wapi.
 
Ni miezi mitano sasa , uongo uliongelewa katika hadhara umeshindwa kuthubitishwa.

Na imeonekana kama inataka kusahaulishwa makusudi.

Watoke watueleze huyu mtu ni nani.
Wanapambana sana kutusahaulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…