Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Namba 17 Kuna mama mmoja aliniambia kabisa.
Nyinyi hangaikeni kwenye huu ujana wenu Tu lakini Sisi (wao wanawake) tunawasubiri mkizeeka tu na hapo mtaisoma namba.

Ile kauli naishi nayo hadi Sasa.
 
Hizi mnazo ziita pisi Kali sio za kuowa bona hamsikiii

Mwanamke wa kuowa ana onekana tu haijalishi umemkuta wapi huwa Ana onekana
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100, hawataki kuambiwa ukweli, ukiwaambia ukweli wanaona unawapakazia ubaya
 
Tusipooa mkuu, nani atatufariji siku zetu za mwisho mwisho tukiwa hoi kitandani , huku kifo kikiwa karibu kabisa chini ya mvungu wa kitanda?
 
Mkianzisha Kampeni ya Kataa Mahali (Posa), mnipigie simu niwaunge mkono, ila la kuoa niacheni tu nioe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…