Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Tusipooa mkuu, nani atatufariji siku zetu za mwisho mwisho tukiwa hoi kitandani , huku kifo kikiwa karibu kabisa chini ya mvungu wa kitanda?
Kwahiyo unategemea kufarijiwa na mke ukiwa unataka kufa wakati huyo ndo aliekuchanganyia dawa kwenye chakula ikuue taratibu miaka 15 iliyopita hapo tegemea faraja ya kinafiki tu
 
The same , kaka mim sio mtu wa wanawake, napenda kutulia na manz mmja tujenge maisha, ila sasa yaliyonikuta 🙌, tena huko,makanisani 🙌, kinachoniuma nipambane aje atokee bwege kashatumika huko wee alafu mim nutie mahali ndio niweke ndani?, thubutu yangu. BIG NO...hii iko moyoni kwangu kama alama.
Kimekutokea nini mkuu?
 
Ndugu salam

Sishauri kijana ambaye hajaoa kuingia kwenye ndoa, wanawake wa sasa wamekua ni chanzo kikuu cha wanaume kufa mapema kwa magonjwa hatari yatokanayo na msongo wa mawazo

Nayasema haya kwasababu

1: Wanawake wa sasa kwenye uchumba wanakuonyesha ni wema kumbe ndani yao ni chui waliovalia ngozi ya kondoo

2: Wanawake wa sasa hawana heshima wanaushindani mkubwa sana na wanaume, hawasikilizi wala hawaelewi kitu hata iwaje atashindana na wewe tuu na hawezi kukuelewa hata ukiwafungia kengele

3: Wanawake , Wamejiweka katika nafasi ya mbaya sana ya usawa na kua wa kwanza kwenye kila kitu wanataka kila kitu uanze kumfanyia wewe hata wakati mwingine mkiamka asubuhi anataka wewe ndiye uwe unaanza kumjulia hali na siyo yeye, wamejificha na kusema wote ni sawa, ukiwelekeza sana atakuambia basi muwe mnajuliana hali ila atataka wewe uanze

4: Ni wabishi sana kupita kiasi hata kama unacho mwelekeza ni cha kumsaidia wao wenyewe bado watabishana na wewe tuu taka usitake

5: Hawana adabu wala hofu yeyote na mwanaume na hofu ya Mungu imepotea ndani yao, kwao kuachana na mwanaume ni fasion

6: Hawaogopi kuvunja ndoa ,watoto kutawanyika na hawajali chochote kuhusu maisha baada ya ndoa

7: Hawana stara wala namna ya kumpokea mwanaume , hata kimaongezi hawana stara

8: Utii midomoni kwao wanakubali ila kimatendo wanasema ni unyanyasaji kamwe hawawezi kukutii kwa namna yeyote

9: Wanasema wanataka amani ila sivyo wao watakua ni chanzo cha kuvuruga amani na kuhakikisha mnaishi kwa mikiki mikiki.

10: Siyo wasikivu kabisa hata iwaje, watajifanya wana kusikiliza kumbe unakua kama unapigia ng'ombe gitaa..

11: Hawatulii na mwanaume mmoja

12: Daima atataka akuendeshe yeye na akutawale , kila kukicha atahakikisha ana kudhohofisha kiakili na kihisia ili akutawale kirahisi

13: Utakapo mwacha nyumbani na wewe unaenda kutafuta hela yeye atatumia huo muda kupanga mashambulizi na ugomvi zaidi yako pindi utakapotoka kwenye mihangaiko na kurudi nyumbani

14: Watajifanya wanaumwa ili uingie kwenye 18 zao na usipo ingia atakuambia hauna Utu ili akulainishe na usipo lainika watajifanya tena wanaumwa na hatofanya chochote wala kuandaa chakula ili akupime mwisho wako ni upi

15: Wanawake wa sasa ni wabinafsi mno kupita kiasi hata kama anacho na wewe umekosa hawezi kutoa cha kwake kitumike na akitoa atakudai na usipo mlipa atatafuta namna ya kukulipizia kwa lawama au kwa vitendo

16: Ni wezi sana wa hela za familia /mwanaume atakudanganya kwenye matumizi ukiingia hovyo yeye atajikusanyia mahela na kujijenga yeye mwenyewe.

17: Wanawake wa sasa wana visasi na kisirani kikali mno visivyo na mpangilio wakishindwa kukulipizia ukiwa na nguvu watasuburia ufike uzeeni au uugue . Pindi unahitaji msaada wake atatumia fursa hiyo ili akulipizie kisawasawa mpaka ufe ,akuzike na umwache atambe na mali zako

KIJANA AMBAYE HUJAOA NA UNAPENDA AMANI YAKO YA MOYONI KAMWE USIOE KAMA KWELI UNASHIDA YA KUA NA WATOTO TAFUTA MWANAMKE ANAYEPENDA WATOTO NA AMBAYE BADO HAJAZALISHWA KUA WA KWANZA KUMZALISHA ALAFU WEWE ENDELEA NA HARAKATI ZAKO, NDOA AU KUISHI NA MWANAMKE KWA KIPINDI HICHI HAZINA MAANA TENA HATA KIDOGO
Umeoa wanawake wangapi ?
Kama hujaoa bhc uzoefu huo umeona kwa Mama yako akimfanyia baba yako au Dada zako wakiwafanyia shemeji zako
Nyie ndio chanzo cha single maza mtaani alaf mnakuja na Uzi hapa kua tusioe single maza
sie wanaume tumekua watu wa hovyooo mnoo
Anyway nami niko kwenye kutafuta mke ambae hana sifa za Dada zako ulizotaja hapo juu
 
Mkuu sijui nianzie ila🙌
Mwanamke mcha Mungu na asiye mcha Mungu woote ni wale wale shika hii kauli, ni suala la muda.
Mwanamke ni yule yule tu.
Mjali mkeo mpe kila kitu ...akose sababu ya kukucheat
Kama ukifanya hivo na akakucheat mpe talaka
Mungu kahalalisha talaka unless ww ni mtu wa kanisa hapo itabidi umvumilieeee maana hilo ndio chaguooo lakoo
 
Mjali mkeo mpe kila kitu ...akose sababu ya kukucheat
Kama ukifanya hivo na akakucheat mpe talaka
Mungu kahalalisha talaka unless ww ni mtu wa kanisa hapo itabidi umvumilieeee maana hilo ndio chaguooo lakoo
Hata iwe kanisan naachan nae mkuu.
 
Hapana ndoa ya kanisa ni moja utamuachaje ?
Mwanamke akisha cheat basi hawezi, maana yake ataendelea kukiachia huko nje na mim atanidharau, aniletee magonjwa, na stress mwisho nife kwakweli hapana.
 
Mkuu sijui nianzie ila🙌
Mwanamke mcha Mungu na asiye mcha Mungu woote ni wale wale shika hii kauli, ni suala la muda.
Mwanamke ni yule yule tu.
Umenigusa, niliwahi muona binti mcha Mungu akawa na mapungufu kadhaa na historia mbaya nkasema atabadilika, acha tu mkuu mambo yalikuwa mengi sana.

Kuna fumbo kubwa sana la mwanamke kuzungumza na shetani bustani ya Eden.
 
Tobo tu likupe matatizo yote hayo??? Ndio maana sabuni zinapanda bei
 
Back
Top Bottom