Kijana anatafuta kazi yeyote ile (Za ndani, kuuza duka, shamba boy, kuosha magari, kulima, saidia fundi n.k)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari JF members,
Kuna kijana anatafuta kazi yeyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO.
Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati mbaya hajafanikiwa.

Anaweza kufanya kazi zifuatazo:
1. Za ndani
2. Kuuza duka,
3. Shamba boy,
4. Kuosha magari,
5. Kulima,
6. Saidia fundi
N.k

Anasema yupo tayari kufanya kazi kwa mshahara wowote ule ili mradi tu apate sehemu ya kulala na chakula.

Namba zake za simu: 0688858751
 
Mwambie Aende G1 security Akafanye kazi ya Ulinzi, Pale Kazi Atapata.
 
Ana umri gani??,
 
Fursa hiyo kama uko dar
 

Attachments

  • Screenshot_20241228_091641_LinkedIn.jpg
    154.6 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…