Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

Joined
Mar 18, 2025
Posts
66
Reaction score
35
Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
 
Diploma ,wenye degree wapo mitaani wanazurura kaongeze elimu kidogo ujue hata kuandika business badala ya bissnes
 
Acha

Fogoh. Wewe maneno yote ya kiingereza una andika kwa ufasaha sio? Soma kama haikuhusu pita kwani ni lazima u comment.
 
Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
Half american. Asante bro
 
Back
Top Bottom