Dalali mbeya jiji
Member
- Mar 18, 2025
- 66
- 35
AchaDiploma ,wenye degree wapo mitaani wanazurura kaongeze elimu kidogo ujue hata kuandika business badala ya bissnes
Fogoh. Wewe maneno yote ya kiingereza una andika kwa ufasaha sio? Soma kama haikuhusu pita kwani ni lazima u comment.Diploma ,wenye degree wapo mitaani wanazurura kaongeze elimu kidogo ujue hata kuandika business badala ya bissnes
Tangazo umelielewa au hujalielewa?Acha
Fogoh. Wewe maneno yote ya kiingereza una andika kwa ufasaha sio? Soma kama haikuhusu pita kwani ni lazima u comment.
Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu
Half american. Asante broHabari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
Thank!!Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
Vijana wakijiua tuna hoji kwann wamejiua, wakiwa walevi tunahoji, wanaomba msaada nako ni shda!! AiseeThank!!
Amen!!
AsanteHabari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni