Kijana anataka kuoa

Kijana anataka kuoa

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Mpeni wosia kidogo kijana wetu

Ndio kaanza life tu anataka kuoa waanzie from scratch.

Screenshot_20241101_211243.jpg
 
Ndio kaanza life tu anataka kuoa waanzie from scratch.
Nasisitiza kila mara humu.

Mwanaume kama huna uwezo wa kumtunza, kumuongoza na kumlinda mwanamke, ACHANA NA NDOA KABISA.

Hio kuanza from scratch ni Fairy Tales. Mwanaume ni lazima uweze kuhudumia Mkeo, na mengine yote utazidishiwa.

Be a Man, zingatia kwanza wewe kuwa bora kabla hujataka kuja kuonewa huruma na mwanamke.
 
Kuoa ni swala la ibada and commitment

Hapa Mtandaoni atapata Muongozo Ila ushauri mzuri anabidi kuiandaa akili yake kuishi na MTU to his lifetime.

So akae aisikilize inner voice yake inasemaje .

Akiona kuna Green light aoe tu .


Then mwambie mambo mengi anayoyaona ni mazuri iwe mke, vitu n.k ni kwasababu yupo mbali navyo, hivyo asiache kutengeneza distance (umbali) katika mambo yake .

Tofauti na hapo atamchoka mke wake mapema .
 
Namwambia kuna maisha baada ya harusi. Aelewe hiii

Hyo ps5 apo naona kashaanza kuandaa mazingira ya junior na sashaa😇😇
 
Back
Top Bottom