Kijana anataka kuoa

Kijana anataka kuoa

Kuna mambo sio ya kushauriwa ye kama kampata mrangi aoe waanzie kwenye hiyo scratch ila life has no guarantee wanaweza kubaki kwenye scratch for the whole life
Ni kweli kabisa. Watanzania wengi wamebaki kwenye scratch maisha yao yote
 
Hivi unajua matumizi ya mwezi ukiwa na familia? Kodi, umeme, maji, chakula, usafiri, ugonjwa etc.
Nina familia ya watu watano by the way wadogo zangu watatu na mzee mtu mzima(kwny hiki kpngle chakula ni mtiti kinoma) hayo mengine kawaida
 
🤣Kwo mkuu 900 haipendezi basi lete michongo pande hizo
 
Nasisitiza kila mara humu.

Mwanaume kama huna uwezo wa kumtunza, kumuongoza na kumlinda mwanamke, ACHANA NA NDOA KABISA.

Hio kuanza from scratch ni Fairy Tales. Mwanaume ni lazima uweze kuhudumia Mkeo, na mengine yote utazidishiwa.

Be a Man, zingatia kwanza wewe kuwa bora kabla hujataka kuja kuonewa huruma na mwanamke.
🧡
 
Back
Top Bottom