Kijana anataka kuoa

Kijana anataka kuoa

🤔🤔🤔 aiseee kama ni nyege imemzd achukuwe sheria mkononi wakupanda miti na mkono moja afanye mamb ya msing anunue kitanda kwanza achane na hyo kamar ya kuowa itampotezea mda
🤣
 
Nasisitiza kila mara humu.

Mwanaume kama huna uwezo wa kumtunza, kumuongoza na kumlinda mwanamke, ACHANA NA NDOA KABISA.

Hio kuanza from scratch ni Fairy Tales. Mwanaume ni lazima uweze kuhudumia Mkeo, na mengine yote utazidishiwa.

Be a Man, zingatia kwanza wewe kuwa bora kabla hujataka kuja kuonewa huruma na mwanamke.
Sifa za kijinga
 
namuona dogo baada ya miezi 3 ya hio ndoa
Screenshot_20241101-131027~2.jpg
 
Mtaangamia Kwa kukosa Maarifa..!
Nadhani huyu kijana anahitaji counseling kubwa kuhusu Maisha.

Ndoa ni Kitu kingine na mafanikio katika ndoa ni Kitu kingine.
Binafsi nilikuwa na kiherehere cha kutaka kuoa, Ila baada ya kupata Maarifa sahihi nimeona nijipe Muda wa miaka mitano ili nianze kutafuta mke by 30 ndio nitaoa.

Kumbuka
1.mwanamke haji na nahitaji yake, wewe ndio utakuwa main provider wa kila Kitu chake, kama ulikuwa unasave 10k per day basi jiandae kusave Buku Tano
2.mke anakupa limitations bro huwezi fanya baadhi ya Kazi kama umeoa huwezi kwenda some places kutafuta kama umeoa. Hakikisha unajipata 70% ndio uone 30% baadae
3.mwanamke Sio mvumilivu Kwa mwanaume masikini, Achana na motivation stories tafuta Hela mke akuheshimu.
4.kuoa Sio guranteee ya kipochi manyoya unaweza kuoa na ukawa hupewi k any time u wish.
5.katika jamii heshima ni kuwa na Hela Sio kua na mke.

Mwisho kabisa tafuta Sana Hela Ila hakikisha mama yako anakula jasho la mwanae.

Kwasasa.... weka malengo realistic Kwa miezi mwaka nk.

Kama una nyege Sana nenda Kwa wahaya unless otherwise utamtia MTU Mimba mipango yako ikwame

Wahaya ni cheap time saving
Budget saving hawaombi hela hawana stress hawana vibomu

Pia Kazi Jumapili kamwage Maji
Huo jamaa anaetaka kuoa ni Wewe😃
 
🤣Nimecheka budah mimi bado sana Sasa kama mzee wangu alinipata mimi akiwa na miaka 44 mm nani niwe haraka za kwenda wapy mkuu

Umenikumbusha mzee kipato changu s chini ya 30k kwa siku lakini Sina mpango wa kuoa
 
Back
Top Bottom