nshaku pm mkuuSikuona hii quote mapema mkuu, kama bado hujatumiwa ni PM
Yaani wameondoka na gari kabisa?? DuhKweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
kiongozi nitumievideo inatisha jamani, anayetaka kuona anyooshe kidole
chrck pmkiongozi nitumie
Mnatuonea tu bure. Pia sisi ni binadamu tuna haki ya kuishi na familia kulisha. Kila mtu Tanzania ni mwizi katika nafasi yake. Kuweni angalau na chembe ya ubinadamu. Hatuibi eti tunapenda ni hali ngumu ya maisha.vizuri sana iyo ndio dawa ya wizi na vibaka unyama unyama tu
mwifwaMnatuonea tu bure. Pia sisi ni binadamu tuna haki ya kuishi na familia kulisha. Kila mtu Tanzania ni mwizi katika nafasi yake. Kuweni angalau na chembe ya ubinadamu. Hatuibi eti tunapenda ni hali ngumu ya maisha.
god bless all thieves, robbers, burgulers, bandits and pirates.
Nyau nyie
Tena yaliyojaa taabu nyingi...Dah maisha ya mwanadamu hakika ni mafupi
Kina nani sasa, wezi au wananchiWana roho mbaya jamani
Wewe ni mwizi?Jamani msiwe mnaongea namna hii humu mitandaoni Kuna watu hawjui kuchekecha Mambo,mtaleta balaa huko vichochoroni
Unatetea kishenzi, sijui ulikua mwizi mwenzie!Kwa hiyo huyu mkaka mzuri alikuwa mwizi?
Twende faragha mkuu. Natangulia.Sheria ya mtandao inabana.
Mwizi Cha mtoto,Mimi Ni dada jambaziWewe ni mwizi?
Usitumie past tense, sema sijui Ni mwizi?and the answer is "Yes am the one...jichanganye sasaUnatetea kishenzi, sijui ulikua mwizi mwenzie!