Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Wananchi punguzeni hasira.Pamoja na kuwa ameiba lakini hiyo adhabu haifai kabisa .
 
Sahii kabisa,
Kuna jamaa Yuko malandizi ndani ndani kabisa aliibiwa injini ya outlander,
Ilishushwa nzima nzima kwenye gar wakaacha skrepa
Mkuu imagine mtu kama huyo aliyeibiwa engine ndio akute mwizi anapigwa sehemu unadhani atafanyaje,kuibiwa kunauma aisee
 
Outlander au Prado txl? Hapo hapo mlandizi kuna mzee ameibiwa engine ya Prado txl.mwizi sijui anajiamini nini kuiba engine ya gari dude zito vile!! Ila engine ilipatikana
Sahii kabisa,
Kuna jamaa Yuko malandizi ndani ndani kabisa aliibiwa injini ya outlander,
Ilishushwa nzima nzima kwenye gar wa
 
Bado wale wanaodandia Malori pale Kwamakunganya, Kihonda, Morogoro.

Tena siku hizi wanalifukuza Lori la Mizigo kwa kutumia Pikipiki hadi Wami Dakawa.

Wale dawa yao ni kuwanywesha Petroli hadi avimbewe halafu ndio unapiga kiberiti ili kila akicheua anacheua moto kama Ibilisi.
 
Dah!Alikutana na mashoga wakamuomba u-house!
drakekidding.png
 
Back
Top Bottom