G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Ungeniita mwamba nikuokoe ningechakaza mabwege wote hao.Wale mbwa walitaka kuniua kisa kisimu cha elfu 25. Nasema wapigwe moto tu hakuna namna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeniita mwamba nikuokoe ningechakaza mabwege wote hao.Wale mbwa walitaka kuniua kisa kisimu cha elfu 25. Nasema wapigwe moto tu hakuna namna.
Kunywa konyagi
Dah!Alikutana na mashoga wakamuomba u-house![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna clip mwizi wa mbagala wamemkamata temeke wakamuuliza tukufir* au tukuchome Moto sielewi KILITOKEA nn Ila upande mmoja ulifanya kazi n jamaa anapumua Hadi leo...nae ilikua mubasharaaa[emoji1787]
Haahaaaa mbona u house🙌Dah!Alikutana na mashoga wakamuomba u-house!
Mihayawani hiyo.Aibu tupu.Haahaaaa mbona u house🙌
mtu ameamua kuwa mwizi akijua madhara yote hayo hapo.Watanzania tujalibu kuwa na misahama isiyokuw na ukomo. Ebu fikiria thamani ya vifaa inalingana na thamani ya UHAI wa mtu, na kingine ukiona kazidi sana busi mkamate then umuajili nahc inawez ikaw suluhixho🤔
Mkuu imagine mtu kama huyo aliyeibiwa engine ndio akute mwizi anapigwa sehemu unadhani atafanyaje,kuibiwa kunauma aiseeSahii kabisa,
Kuna jamaa Yuko malandizi ndani ndani kabisa aliibiwa injini ya outlander,
Ilishushwa nzima nzima kwenye gar wakaacha skrepa
😆😆PM yako ipo busy wote hadi umechokaNakurushia kwa masharti na wewe mtu akiiomba umrushie niko bize na shemeji yako hapa.
Nimeshindwa hadi kuingia chumvini😉😆😆PM yako ipo busy wote hadi umechoka
Sahii kabisa,
Kuna jamaa Yuko malandizi ndani ndani kabisa aliibiwa injini ya outlander,
Ilishushwa nzima nzima kwenye gar wa
Siku hizi na wao wanaongea Kiswahili cha Pwani?south Africa
Hiyo sura ya kistaarabu anapokua mapumzikoni akiwa kazini anakua na roho ya SimbaSio mchezo.. kijana smart kwa kumwangalia kumbe hana akili kichwani ameshindwa kufanya biashara hata za kuuza bidhaa mbalimbali mtandaoni?
Hiyo Video mbona wanaongea kiswahili?Hii video ilisambaa kama sio miaka mitatu basi ni zaidi ya hiyo imepita. Ilikuwa south Africa wakati wahamiaji wakiuawa. Naona imebadilishwa kuwa ya kaka jambazi
Huko ndio pazuri unamshindilia ndimbo inatokea mdomoni.Porini teena miye nilijua polisi mkuu.
Dah!Alikutana na mashoga wakamuomba u-house!