Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.

Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"

Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.

CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.

Britanicca
 
Mlihnagaika na kumuandaa membe kwa miaka mingi na kumpa kila support, Ila upepo ukawabadilisha ukaenda kumuangukia mtu msiyemtegea.
Hata huyo makamba mtalazimika tu kubadilisha, nawaambieni ukweli
 

Ccm hamtaki wataka madaraka mapema, ila ww unamjua atakayekuwa Rais hiyo 2030! Na mtapiga hela sana kwa hilo group la Msoga line linalotaka urais kwa nguvu. Uniite na mimi kwenye hiyo asali ya wasaka urais tupige hizo hela za kuwapaka rangi.
 
heheheeeeeee . . . . . yaania anaupiga halafu hapo hapo hatoboi 2025. JF raha sana
Kabisa mkuu. Anaupiga mwingi sana tozo, mikopo, mfumko wa bei, mgao wa umeme, kutoajiri, machinga kufurushwa, kuhimiza nauli zipande & cos.

Sasa hapo 2025 anatoboaje sasa?
Mama endelea kuupiga mwingi sisi wananchi tupo nyuma yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
heheheeeeeee . . . . . yaania anaupiga halafu hapo hapo hatoboi 2025. JF raha sana
Kabisa mkuu. Anaupiga mwingi sana tozo, mikopo, mfumko wa bei, mgao wa umeme, kutoajiri, machinga kufurushwa, kuhimiza nauli zipande & cos.

Sasa hapo 2025 anatoboaje sasa?
Mama endelea kuupiga mwingi sisi wananchi tupo nyuma yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kama Simba na Yanga, haya maneno hayapaswi kusemwa na mtu wa JF bali wa Mange App
Semaaa ww km watakusikiaaa mkuuu,mangee kimambii app ndio nani mkuu wanguu???
 
MAKAMBA AMEKUBALIANA NA MUNGU?
MWENDAZAKE ALITAKA ABADILISHE KATIBA LAKINI MUNGU AKASEMA HAPANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…