nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 753
- 1,030
Dah sio poa gari ununue kwa gharama af ndugu wazingue
Mbona video na content haziendani?,,au hao ndugu waliocoment hapo juu ni video gani wameiona.
Anyway hii inathibitisha wabongo wape maelezo tu vingine wataongezea wenyewe,maana video inaaonyesha vingine na comment za wakuu wa jf sasa duh
Waandishi wengi wa habari na online media nyingi wanafanya hivi.Nilifikiri ni peke yangu tu ndio nimeona hiyo vdo clip na content ni vitu viwili tofauti kabisa,
Naona kuna watu walicomment tu bila hata ya kuiangalia hiyo clip,hata mleta mada sidhani kama aliiangalia hiyo clip kabla yakuipost hapa.
Angalia hiyo clip kisha ufananishe na maelezo yako.Utofauti wake ni nini mkuu?
Mwamba inaonekana hata hajatazama alicho postAngalia hiyo clip kisha ufananishe na maelezo yako.
Wewe umeangalia hiyo clip ukaelewa kinachozungumzwa au umetunga tu ya kwako? Mbona maelezo ya kwenye clip ni tofauti na hayo ya kuvunja gari? Inaonekana hukuangalia hata hiyo clip inahusu nini.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake:
View attachment 3533028
Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?
Usijali bwasheeSamahani sana wakuu BOB OS The Icebreaker Strategist7 Xi Jinping Makebo Vishu Mtata makaveli10 min -me Buyuni Kwetu , et al
Nilijichanganya nikapakia video isiyo sahihi. Sikuwa na nia ya kuwachanganya kwa makusudi ila imetokea bahati mbaya. Mnisamehe sana.
Sasa nimeweka video halisi mnaweza kuitazama. Bahati mbaya nilipopakia sikuhakiki video. Ni muhimu kuhakiki content kabla ya kutuma aisee!
............... kwanini anawavuruga watu wasiokuwa na akili timamuJamaa yupo sahihi. Aliyemvuruga ndiye asakwe ahojiwi kwanini anawavuruga watu wasiokuwa na hatia.
Poapoa mkuu ngoja niitazame sasaSamahani sana wakuu BOB OS The Icebreaker Strategist7 Xi Jinping Makebo Vishu Mtata makaveli10 min -me Buyuni Kwetu , et al
Nilijichanganya nikapakia video isiyo sahihi. Sikuwa na nia ya kuwachanganya kwa makusudi ila imetokea bahati mbaya. Mnisamehe sana.
Sasa nimeweka video halisi mnaweza kuitazama. Bahati mbaya nilipopakia sikuhakiki video. Ni muhimu kuhakiki content kabla ya kutuma aisee!
UmesamehewaSamahani sana wakuu BOB OS The Icebreaker Strategist7 Xi Jinping Makebo Vishu Mtata makaveli10 min -me Buyuni Kwetu , et al
Nilijichanganya nikapakia video isiyo sahihi. Sikuwa na nia ya kuwachanganya kwa makusudi ila imetokea bahati mbaya. Mnisamehe sana.
Sasa nimeweka video halisi mnaweza kuitazama. Bahati mbaya nilipopakia sikuhakiki video. Ni muhimu kuhakiki content kabla ya kutuma aisee!
Sio mzima huyo , akili imemruka!!Jamaa ashikwe atandikwe viboko, amewehuka kwa muda
Huyo ushamba umemjaaMapenzi yanauma jamaniiii!
AIKatika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake:
View attachment 3533226
Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?