Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
"Anaelitaka alichukue kabla mapolisi hawajaja kulibeba.
huyu jamaa kazinguliwa na trafiki njiani, sio mapenzi usikute alisimamishwa akawa hana rushwa akaamua KUACHIA CLUTCH KWA NGUVU 😄 🤣
Sema ndo hivyo tena matrafiki wanaijua hivyo wakamkamata tu hata siku nyingine
Ukichanganya na stress Akaona bora alipasue wakose wote
Matrafiki wana mambo ya ******* sana.
Matrafiki wakisha kukariri kuwa unamiliki gari bovu, hata ukipita kwa mguu anaweza akakusimamisha 😄
Na wewe kwa sababu ya wenge unaweza ukajikuta umesimama.(psychological)
Mbadala wa leseni unaulizwa kitambulisho cha kula.