Kijana avunjavunja gari hadharani baada ya kuvurugwa na mpenzi wake

Mbona video na content haziendani?,,au hao ndugu waliocoment hapo juu ni video gani wameiona.
Anyway hii inathibitisha wabongo wape maelezo tu vingine wataongezea wenyewe,maana video inaaonyesha vingine na comment za wakuu wa jf sasa duh

Nilifikiri ni peke yangu tu ndio nimeona hiyo vdo clip na content ni vitu viwili tofauti kabisa,

Naona kuna watu walicomment tu bila hata ya kuiangalia hiyo clip,hata mleta mada sidhani kama aliiangalia hiyo clip kabla yakuipost hapa.
Waandishi wengi wa habari na online media nyingi wanafanya hivi.

Sijui ni kwasababu gani hasa, nadhani jamaa nae kawacopy hao, sio bahati mbaya, ndio lengo lake.
 
Wewe umeangalia hiyo clip ukaelewa kinachozungumzwa au umetunga tu ya kwako? Mbona maelezo ya kwenye clip ni tofauti na hayo ya kuvunja gari? Inaonekana hukuangalia hata hiyo clip inahusu nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…