Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Viboko vinatosha kumuweka Sawa kiakili, hajachelewaSio mzima huyo , akili imemruka!!
Du! Matrafiki ni nyoko sana aisee!"Anaelitaka alichukue kabla mapolisi hawajaja kulibeba.
huyu jamaa kazinguliwa na trafiki njiani, sio mapenzi usikute alisimamishwa akawa hana rushwa akaamua KUACHIA CLUTCH KWA NGUVU π π€£
Sema ndo hivyo tena matrafiki wanaijua hivyo wakamkamata tu hata siku nyingine
Ukichanganya na stress Akaona bora alipasue wakose wote
Matrafiki wana mambo ya ******* sana.
Matrafiki wakisha kukariri kuwa unamiliki gari bovu, hata ukipita kwa mguu anaweza akakusimamisha π
Na wewe kwa sababu ya wenge unaweza ukajikuta umesimama.(psychological)
Mbadala wa leseni unaulizwa kitambulisho cha kula.
Nimepiga hesabu hasara haifiki 1.5MKatika hali isiyokuwa ya kawaida, hebu mtazame kijana huyu jinsi anavyoharibu gari alilonunua kwa mamilioni ya hela kwa sababu tu ya kutofautiana na laazizi wake:
View attachment 3533226
Je, wewe unaweza kuvunja gari yako kwa sababu tu ya kuvurugwa na mpenzi wako?
Kwa kuharibu kichwa cha madaContent creation kwa kuharibu gari mkuu?
Kumbe hata wewe umeona mkuu?π€£ππ€£πKwa kuharibu kichwa cha mada
Unanikumbusha miaka ile magazeti binafsi yameruhusiwa nchini ilikuwa unakuta gazeti la MAJIRA lina kichwa cha habari "Mwinyi afumaniwa na mke wake"
Halafu unakuta watu barabarani wamesisima kwenye kibanda cha magazeti wakisoma kichwa cha habari lakini stori iko ukurasa wa 3 mpaka ununue gazeti ndio utasoma
Ukinunua, ndani unakukutana na stori ya Mwinyiheri Mkojani wa Tumbatu kafumaniwa na mkewe
Na ukute hilo gari kaazima kwa shemeji yake. Hapo ndipo atajua hajuiπ€£ππ€£Nimepiga hesabu hasara haifiki 1.5M
Kaharibu taa 2 za mbele 400 000
Ta 2 za nyuma 300 000
Vioo viwili nyuma na mbele 250,000
Vioo vine vya milangoni 300,000
Side mirrors 2 200 000
Model ya gari ni Toyota Alex kwa muonekano hivyo bei inaweza kuwa pungufu ya hapo
Angetaka kufanya uharinifu wa maana angeitia kibiriti ama angetia chumvi kwenye engine
The best thing ni kwamba hasira kazimalizia kwenye gari na si kwenye mwili ama miili
Hatari sana mkuu. Weka mbali na watoto."Anaelitaka alichukue kabla mapolisi hawajaja kulibeba.