Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Na wazazi wakamgeuza house girl badala wamtafutie kitu cha kujishugulisha.aise,
muwe mnatuma kweli basi hiyo sukari, sio tena nyie ndio mnawapiga vizinga wazazi dah!
nikiwa mjini siku zingine hapo nyuma,
nimemsika dada moja muhitimu wa chuo kikuu hapo mjini, amehitimu miaka 4 iliyopita yuko nyumbani hana cha kufanya ,
siku hiyo,
akawa anabishana na mamake mzazi kwa uchungu sana,
na akamwambia mamake kwamba amechoka kua housegirl wa nyumbani kwao dah! ilinishangaza sana kwakweli...
nikajiuliza hivi kama familia hii ingekua na mashamba pangekua na mabishano ya aina hii kweli ?
huenda angeambiwa kabishane na shamba maana sasa mama atafanyaje?🐒
Ajira ni changamoto