Kijana chini ya Miaka 30 anayemiliki Bilioni (TSh) kwenye akaunti yake? Siyo za kurithi!

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Kuna post nimeona dogo mmoja huko X (zamani twitter) anajisififu kuwa kaingiza milion 100 kwa hustle zake na anamiaka 26. Nimeshtuka sana. lakini nahisi aliandika kuongeza likes si kweli. Ingawa uwezekano wa ukweli upo.

Swali langu kama kuna kijana mpambanaji chini ya miaka 30 mwenye Bilion hapa tz. Za kupambana mwenyewe siyo za kurithi
 
Unamaanisha hiyo 100 million ndio billion moja? Maana kichwa cha habari na ndani ulichoandika hakiendani kuna million 100 na billion.....

Billion 1 sawa sawa na million 1000 (milioni elfu moja) hivyo huyo kijana mwenye million mia (100 million) hana billion bado anahitaji million mia tisa (900m) ndo zifike billion
 
Uwe unatulia unasoma vizuri unaelewa
 
Back
Top Bottom