Kijana chini ya Miaka 30 anayemiliki Bilioni (TSh) kwenye akaunti yake? Siyo za kurithi!

Kijana chini ya Miaka 30 anayemiliki Bilioni (TSh) kwenye akaunti yake? Siyo za kurithi!

Wapo wengi sana ila huwezi kuwajua maana hawaishi dar.

Ni vijana wachache sana pengine 0.01 na kwa wanaojua hesabu ni sawa na SIFURI
Tatizo la watu wakiona mtu amefanya jambo hata kwa mkopo wanafikiri anamamilioni ya pesa
Utajiri wa mtu unapimwa kwa: Kuajiri na kulipa kodi (ameajiri watu wangapi, analipa kodi kisi gani?
Hivyo vi chenji leo anazo kesho hana, hizo hazihesabiki
 
Hongereni una B ngap?? ulianza kutafuta ukiwa bado kichanga
B3.71 kwasasa hamna urithi hata mia mkuu,nilichozingatia ni kwamba Sina Demuu Wala sinaga starehe kama mipombe,Raha yangu ni Soka tu. Ogopa Pisi Kali mazee,hata matukio mengi kwenye bibilia wameenginia Mademuu eg,Lilith,Eva....
 
Kuna post nimeona dogo mmoja huko X (zamani twitter) anajisififu kuwa kaingiza milion 100 kwa hustle zake na anamiaka 26. Nimeshtuka sana. lakini nahisi aliandika kuongeza likes si kweli. Ingawa uwezekano wa ukweli upo.

Swali langu kama kuna kijana mpambanaji chini ya miaka 30 mwenye Bilion hapa tz. Za kupambana mwenyewe siyo za kurithi
Matajiri wengi hawana cash mkuu. Tafuta tajiri unayefahamiana naye Kisha muulize unashilingi ngapi kwenye account yako?

Kama hahitaji pesa ya kulipa wafanyakazi basi muda mwingi pesa inaingizwa kwenye biashara au anafanya biashara na banks...

Nakumbuka kazi yangu ya kwanza nilikuwa na hang na boss alikuwa ni mtu mwenye uwezo saana. Alitaka nifanikiwe alinishauri saana kuhusu mambo ya uwekezaji. Siku moja aliniambia urashangaa nikikuambia hata kwenye account yangu sina million 200. Siku nyingine akapigiwa simu na bank tupo njiani tunaendesha wakimuomba awake pesa kwa deposit account au awaazime pesa . Akakataa maana ni muislamu.

Kama umeshawahi kufanya biashara utanielewa.... labda matajiri Kama kina Dangate, Bill gates wana pesa nyingi bank ila hawa wa wakawaida mamilioni....bado pesa inawekwa kwenye mzunguko. Kumbuka biashara ikikua ndivyo unavyohitaji kuikuza.

Mfano Kama una safirisha mizigo...kadri unavyoongeza soko unahitaji magari mengi....

Wenye pesa bank ni wanasiasa na rafiki zao wanaowapa tender za wizi...watu Kama Kikwete, Ruto ndiyo wanacash kwenge account zao.... pia nature ya ya biashara...
 
Kama unaulizia transaction zilizofikia billion 1. Wapo wengi saana. Watu wanafanya kazi na wapo waliozaliwa kwenye pesa. Mjini opportunities kibao kama umefanikiwa kupata connection mapema. Unadhani Tender za serikali zinaenda kwa kina nani????
 
Kwamba
 
Mbona nimesema nimeelewa na nikauchambua uzi kama ulivyo uchambua wewe kwenye hii comment (forget about paragraph ya mwisho)

Sorry imebidi nirudi kuisoma hiyo comment yangu ya pili nimegundua nimeweka kiulizo (question mark) badala nukta (full stop) na ikaleta dhana kama naleta ligi (over think) ila ulichokieleza hapa ndo mie nimeeleza hapo juu kile nilichoelewa baada ya comment ya awali kuelewa tofauti. (nilifanya uchambuzi wa uzi wako kile nilichoelewa)

Nikiondoa question mark (yanasomeka kama ulivyoelezea wewe hapa ila hicho kiulizo cha paragraph ya kwanza nimeweka bahati mbaya)

Ulichoeleza = nilichojibu mie (in this case tupo pamoja na comment edited and question mark removed
Achana nae huyo jamaa analazimisha kujibizana tu, maana ulichoandika kipo sahihi na ukamdadavulia.
 
Wapo ila sio wengi

Kuna kina raphael tesha by 30 tu walikuwa wanaingiza mabilioni

Kina ruge mutahaba nao by 30 tu walikuwa wanashika bilioni
Huyo Tesha alikuwa anapiga issue gani Mkuu?
 
Ruge kaanza kushika hela tangu mdogo. Clouds imeanza 1995 na ruge ndie bosi yeye na kusaga
Acha porojo na uongo kwa jambo usilolijua, humu jukwaani kuna watu wa kila aina kwahiyo usitoe ushahidi wa uongo kwa jambo usilolijua utakuja kuumbuka kama Lissu anavyowaumbua mashahidi wa upande wa serikali
 
Sio juzi mkuu angalia title ya mwaka gani ile...
Nilikua nimemaliza form six before sijaenda chuo
Wewe sikatai kabisa ,nakubaliana na wewe ndiyo maana hapa jamvini sipendi mtu akuzingue mdogo wangu .
Na ndiyo maana uliposema unawapenda mashangazi akina aunt Dory haraka Sana nilianzisha challenge hapa mtaani ili nipate mishangazi yenye vigezo vyako ili ufurahie dunia ila ndiyo vile bado haukuonekana kunikibali Kama mpambe wako mkuu .

Ila nachukua fursa hii kukueleza kuwa wapambe wako tupo na tunakukubali .

Nb:Uchawa bongo umekatazwa na ma Gen _Z hivyo itanipenza mkiniita rafiki wa karibu Sana na tajiri Poor Brain
 
Umenifurahisha sana..
Ukipata mda fanya tuonane upate bardi moja mbili tatu hvi mkuu 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom