Kijana chini ya Miaka 30 anayemiliki Bilioni (TSh) kwenye akaunti yake? Siyo za kurithi!

Kijana chini ya Miaka 30 anayemiliki Bilioni (TSh) kwenye akaunti yake? Siyo za kurithi!

Wapo ila wachache sana

Diamond by 30 alikuwa tayari ana billion kwenye account.

Hasheem thabeet nae before 30 ameshakuwa na billion

Mbwana samatta pia
Amesema by hustleling. If playing football, volleyball, or music is kind of fraud, scammering then you are right.
 
Uwe unatulia unasoma vizuri unaelewa
Nimeelewa ndo maana nikasema heading bilion moja na pia umeuliza kuna kijana yeyote under 30 ana milki one billion.

Alafu ndani ya content ulishangaa kijana kule X ana milki million 100 maana yake ni story mbili tofauti ya kijana na million 100 na SWALI la umilki wa bilion under 30yrs

Ndo maana nikauliza politely lile swali kulingana na heading na mtiririko wa contents just in case kama ulipitiwa na wala sio kutaka kuku-critize.

Au ukiandika haturuhusiwi kuuliza? Na ndio maana ikawekwa button ya edit in case mtu kapitiwa.......otherwise nimeelewa vizuri sana
 
Nimeelewa ndo maana nikasema heading bilion moja na pia umeuliza kuna kijana yeyote under 30 ana milki one billion?

Alafu ndani ya content ulishangaa kijana kule X ana milki million 100 maana yake ni story mbili tofauti ya kijana na million 100 na SWALI la umilki wa bilion under 30yrs

Ndo maana nikauliza politely lile swali kulingana na heading na mtiririko wa contents just in case kama ulipitiwa na wala sio kutaka kuku-critize.

Au ukiandika haturuhusiwi kuuliza? Na ndio maana ikawekwa button ya edit in case mtu kapitiwa.......otherwise nimeelewa vizuri sana
Mkuu usiwe una over think habar na heading viko sahihi na stori ipo sahihi

Hapo kuna stor, kuna swali vinashabihiana lakini havifanani

Kwa maana nyingine story ilikua ni chombeza ya ushuhuda… lakini story ya kumiliki milion100 ni ya kushangaza lakini si ya ajabu.

Kwa maana hiyo mimi nimeuliza kitu amabacho naona ni cha kushangaza na cha ajabu !
 
Hivi unajua ukiweka akiba ya milion moja kila mwezi kwa umri wako maisha yako yote hutofikisha bilion moja?
 
Mkuu usiwe una over think habar na heading viko sahihi na stori ipo sahihi

Hapo kuna stor, kuna swali vinashabihiana lakini havifanani

Kwa maana nyingine story ilikua ni chombeza ya ushuhuda… lakini story ya kumiliki milion100 ni ya kushangaza lakini si ya ajabu.

Kwa maana hiyo mimi nimeuliza kitu amabacho naona ni cha kushangaza na cha ajabu !
Mbona nimesema nimeelewa na nikauchambua uzi kama ulivyo uchambua wewe kwenye hii comment (forget about paragraph ya mwisho)

Sorry imebidi nirudi kuisoma hiyo comment yangu ya pili nimegundua nimeweka kiulizo (question mark) badala nukta (full stop) na ikaleta dhana kama naleta ligi (over think) ila ulichokieleza hapa ndo mie nimeeleza hapo juu kile nilichoelewa baada ya comment ya awali kuelewa tofauti. (nilifanya uchambuzi wa uzi wako kile nilichoelewa)

Nikiondoa question mark (yanasomeka kama ulivyoelezea wewe hapa ila hicho kiulizo cha paragraph ya kwanza nimeweka bahati mbaya)

Ulichoeleza = nilichojibu mie (in this case tupo pamoja na comment edited and question mark removed
 
Back
Top Bottom