Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
100%MAISHA YA TZ MKUU ASILIMIA 90 YA VIJANA UNAWEZA KUTA HANA AKIBA HATA YA 1M BENKI AU NYUMBANI
π€£π€£π€£Bongo mtu bank pesa zikiingia anatoa zote...Huu mfumo niliuona mara ya kwanza nikiwa chuo ,jamaa wanakomba zote mpaka sasa naelewa kwa nn huku makazini watu hawana akiba ...Kila siku ni salary advance.MAISHA YA TZ MKUU ASILIMIA 90 YA VIJANA UNAWEZA KUTA HANA AKIBA HATA YA 1M BENKI AU NYUMBANI
na haya ndo najua na mmMAISHA YA TZ MKUU ASILIMIA 90 YA VIJANA UNAWEZA KUTA HANA AKIBA HATA YA 1M BENKI AU NYUMBANI
hasheem si alikua anaishi njeWapo ila wachache sana
Diamond by 30 alikuwa tayari ana billion kwenye account.
Hasheem thabeet nae before 30 ameshakuwa na billion
Mbwana samatta pia
ndo nanNi huku Tz tu ila sio mahali pengine... Imagie Lamine Yamal umri alionao na pesa alizonazo
hasheem si alikua anaishi nje
Kwa nje ya nchi inawezekana ila naongelea huu msoto wa bongoNje anafanya kazi. Ila kwao ni bongo
Kwa nje ya nchi inawezekana ila naongelea huu msoto wa bongo
Ruge alikua age Go mkuuWapo ila sio wengi
Kuna kina raphael tesha by 30 tu walikuwa wanaingiza mabilioni
Kina ruge mutahaba nao by 30 tu walikuwa wanashika bilioni
kwamba dar hawapoWapo wengi sana ila huwezi kuwajua maana hawaishi dar.
πππWapo wengi sana ila huwezi kuwajua maana hawaishi dar.
Uwe unatulia unasoma vizuri unaelewaUnamaanisha hiyo 100 million ndio billion moja? Maana kichwa cha habari na ndani ulichoandika hakiendani kuna million 100 na billion.....
Billion 1 sawa sawa na million 1000 (milioni elfu moja) hivyo huyo kijana mwenye million mia (100 million) hana billion bado anahitaji million mia tisa (900m) ndo zifike billion
hana yule mgangaChief god