Tusiongelee sana hawa ambao walianza kulipwa kwa US Dollars.Tujiongelee sisi wa Tshs!!!!.Wapo ila wachache sana
Diamond by 30 alikuwa tayari ana billion kwenye account.
Hasheem thabeet nae before 30 ameshakuwa na billion
Mbwana samatta pia
Amesema by hustleling. If playing football, volleyball, or music is kind of fraud, scammering then you are right.Wapo ila wachache sana
Diamond by 30 alikuwa tayari ana billion kwenye account.
Hasheem thabeet nae before 30 ameshakuwa na billion
Mbwana samatta pia
ulishapata kazi maana juzi juzi ulikua unatafuta kazi ya kujishikiza leo ushakua milionea hongeraMkuu mimi ni miongoni mwa hao vijana japo nina miaka mitano mbele nitimize hi ndoto .. kwa sasa mimi ni millionea...
Hongereni una B ngap?? ulianza kutafuta ukiwa bado kichangaTupo wengi tu,chief Goodlove sema mwenzetu mshambaa tu anaropoka.
Nimeelewa ndo maana nikasema heading bilion moja na pia umeuliza kuna kijana yeyote under 30 ana milki one billion.Uwe unatulia unasoma vizuri unaelewa
Mkuu usiwe una over think habar na heading viko sahihi na stori ipo sahihiNimeelewa ndo maana nikasema heading bilion moja na pia umeuliza kuna kijana yeyote under 30 ana milki one billion?
Alafu ndani ya content ulishangaa kijana kule X ana milki million 100 maana yake ni story mbili tofauti ya kijana na million 100 na SWALI la umilki wa bilion under 30yrs
Ndo maana nikauliza politely lile swali kulingana na heading na mtiririko wa contents just in case kama ulipitiwa na wala sio kutaka kuku-critize.
Au ukiandika haturuhusiwi kuuliza? Na ndio maana ikawekwa button ya edit in case mtu kapitiwa.......otherwise nimeelewa vizuri sana
huyu n milioneaKuna uyu jamaa.
View attachment 3300369
aisseeLabda awe anacheza na upande mwingine wa giza.
Sio juzi mkuu angalia title ya mwaka gani ile...ulishapata kazi maana juzi juzi ulikua unatafuta kazi ya kujishikiza leo ushakua milionea hongera
hongera mkuu kwa kutoboa ingawa mi nakufaahamu we mropofuSio juzi mkuu angalia title ya mwaka gani ile...
Nilikua nimemaliza form six before sijaenda chuo
ivi we jamaa unazani milion 7000 ni ndogo hizo ni hela siyo nywereSasa yeye anazo milioni 7000.
Mbona nimesema nimeelewa na nikauchambua uzi kama ulivyo uchambua wewe kwenye hii comment (forget about paragraph ya mwisho)Mkuu usiwe una over think habar na heading viko sahihi na stori ipo sahihi
Hapo kuna stor, kuna swali vinashabihiana lakini havifanani
Kwa maana nyingine story ilikua ni chombeza ya ushuhuda… lakini story ya kumiliki milion100 ni ya kushangaza lakini si ya ajabu.
Kwa maana hiyo mimi nimeuliza kitu amabacho naona ni cha kushangaza na cha ajabu !
Ruge alikua age Go mkuu
ayeeeeNdo anazo sasa b7.