Tatizo kipato hakitoshelezi mahitajiπΏπ€£π€£π€£Bongo mtu bank pesa zikiingia anatoa zote...Huu mfumo niliuona mara ya kwanza nikiwa chuo ,jamaa wanakomba zote mpaka sasa naelewa kwa nn huku makazini watu hawana akiba ...Kila siku ni salary advance
njieTatizo kipato hakitoshelezi mahitajiπΏ
Sawa ka hivo hvo ukiamini kutoboa mpaka uloge au uue au ukabe ahahahahhongera mkuu kwa kutoboa ingawa mi nakufaahamu we mropofu
Wapo wengi sana ila huwezi kuwajua maana hawaishi dar.
B3.71 kwasasa hamna urithi hata mia mkuu,nilichozingatia ni kwamba Sina Demuu Wala sinaga starehe kama mipombe,Raha yangu ni Soka tu. Ogopa Pisi Kali mazee,hata matukio mengi kwenye bibilia wameenginia Mademuu eg,Lilith,Eva....Hongereni una B ngap?? ulianza kutafuta ukiwa bado kichanga
Matajiri wengi hawana cash mkuu. Tafuta tajiri unayefahamiana naye Kisha muulize unashilingi ngapi kwenye account yako?Kuna post nimeona dogo mmoja huko X (zamani twitter) anajisififu kuwa kaingiza milion 100 kwa hustle zake na anamiaka 26. Nimeshtuka sana. lakini nahisi aliandika kuongeza likes si kweli. Ingawa uwezekano wa ukweli upo.
Swali langu kama kuna kijana mpambanaji chini ya miaka 30 mwenye Bilion hapa tz. Za kupambana mwenyewe siyo za kurithi
KwambaKama unaulizia transaction zilizofikia billion 1. Wapo wengi saana. Watu wanafanya kazi na wapo waliozaliwa kwenye pesa. Mjini opportunities kibao kama umefanikiwa kupata connection mapema. Unadhani Tender za serikali zinaenda kwa kina nani????
Achana nae huyo jamaa analazimisha kujibizana tu, maana ulichoandika kipo sahihi na ukamdadavulia.Mbona nimesema nimeelewa na nikauchambua uzi kama ulivyo uchambua wewe kwenye hii comment (forget about paragraph ya mwisho)
Sorry imebidi nirudi kuisoma hiyo comment yangu ya pili nimegundua nimeweka kiulizo (question mark) badala nukta (full stop) na ikaleta dhana kama naleta ligi (over think) ila ulichokieleza hapa ndo mie nimeeleza hapo juu kile nilichoelewa baada ya comment ya awali kuelewa tofauti. (nilifanya uchambuzi wa uzi wako kile nilichoelewa)
Nikiondoa question mark (yanasomeka kama ulivyoelezea wewe hapa ila hicho kiulizo cha paragraph ya kwanza nimeweka bahati mbaya)
Ulichoeleza = nilichojibu mie (in this case tupo pamoja na comment edited and question mark removed
Huyo Tesha alikuwa anapiga issue gani Mkuu?Wapo ila sio wengi
Kuna kina raphael tesha by 30 tu walikuwa wanaingiza mabilioni
Kina ruge mutahaba nao by 30 tu walikuwa wanashika bilioni
Acha porojo na uongo kwa jambo usilolijua, humu jukwaani kuna watu wa kila aina kwahiyo usitoe ushahidi wa uongo kwa jambo usilolijua utakuja kuumbuka kama Lissu anavyowaumbua mashahidi wa upande wa serikaliRuge kaanza kushika hela tangu mdogo. Clouds imeanza 1995 na ruge ndie bosi yeye na kusaga
Wewe sikatai kabisa ,nakubaliana na wewe ndiyo maana hapa jamvini sipendi mtu akuzingue mdogo wangu .Sio juzi mkuu angalia title ya mwaka gani ile...
Nilikua nimemaliza form six before sijaenda chuo
Umenifurahisha sana..Wewe sikatai kabisa ,nakubaliana na wewe ndiyo maana hapa jamvini sipendi mtu akuzingue mdogo wangu .
Na ndiyo maana uliposema unawapenda mashangazi akina aunt Dory haraka Sana nilianzisha challenge hapa mtaani ili nipate mishangazi yenye vigezo vyako ili ufurahie dunia ila ndiyo vile bado haukuonekana kunikibali Kama mpambe wako mkuu .
Ila nachukua fursa hii kukueleza kuwa wapambe wako tupo na tunakukubali .
Nb:Uchawa bongo umekatazwa na ma Gen _Z hivyo itanipenza mkiniita rafiki wa karibu Sana na tajiri Poor Brain