Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Nenda shule kwanzaKuna madai?
Yako wapi mkuu! Tukuaminije?
nadhani ni drama zile zile tu za siku zote kama ni madai ya master wa drama m.sarung🐒Huyu mtu nani anamfahamu? Maana kuna madai kwenye akaunti ya Maria Sarungi kwamba amepotea huyu mtu, binafasi hata simfahamu.
Mwenye kumfahamu naomba anifahamishe.
Halafu unaniambia mimi niende shule!!Nenda shule kwanza
Mwishowe utasema hata ya Pole Pole, Mzee Kibao ni drama za Maria kwa akili yako ya kiazi.nadhani ni drama zile zile tu za siku zote kama ni madai ya master wa drama m.sarung🐒
reduce nonsense narratives gentleman 🐒Mwishowe utasema hata ya Pole Pole, Mzee Kibao ni drama za Maria kwa akili yako ya kiazi.
Ulishaambiwa kuwa "siasa ni mchezo mchafu".reduce nonsense narratives gentleman 🐒
Hayati Kambarage alituachia mifumo mibaya sana ya kiutawala hasa hili la Katiba.CCM, Chanzo Cha Matatizo
ni wawapi huyo kijana gentleman na anajishughulisha na nini?🐒Pichani ni David Nkindikwa ni Mwanachama wa CCM lakin mitandaoni huwa anajiita Mwanaharakati Mzalendo.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Nkindikwa alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Samia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikuwa anakosoa sana Serikali na alikuwa haogopi
Juni 24 majira ya saa moja jioni alimuaga mkewe kwamba anaenda kumnunulia Ice Cream maana mkewe ni mgonjwa, tangu muda huo mpaka sasa hajarudi na simu zake zimezimwa jambo ambalo mkewe anasema sio kawaida yake.
Sema wewe binafsi humjui. Huyu anafahamika sanaHatumjui bila shaka anavita na mbogamboga
Niliongea namna nyerere alivyokipenda ccm kuliko TanzaniaHayati Kambarage alituachia mifumo mibaya sana ya kiutawala hasa hili la Katiba.
Hatumjui bila shaka anavita na mbogamboga