Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kama hayo ndio ya kuzingatia embu tueleze kwanini wake wa ma boss wengi wanaliwa na walinzina ma house boy ambao wananuka jasho nakuvalia viatu vya buku miatano vya karume na perfume hata hawaijui , non of those things work.
 
Asee hizo gharama siwez kumfanyia mtu mmoja, aende zake huko, mi najua yule Real Woman ndo atakula manono ya nchi hadi siku anazeeka na kufa, hao expensive, classy wataendelea kutafunwa km bigijii mwisho wa siku wanachuja wanaisha mimi huyu wangu atabaki anatamba na familia yake wala hana stresa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lusungo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

JF ina thread na majukwaa mengi sana! Pia una uhuru wa kukianzishia thread hiki ulichokiandika sio lazima mimi niandike!! Then hii thread ni kwa watafutaji kula kutafuta nilichokiandika hapo juu hukipati!!

Kama wewe ni mchungaji nenda jukwaa la dini!
 
Nonsense!
 
Warembo wa kibongo hizo mambo hawazijui, perfume walizo zoea ni hizi za kiarabu, tena spray tu, na ni dem mkali.

Mkuu we unaongelea madem wa huko mbele, huku bongo kuwa smart, ghetto safi na kausafiri kako mbona utawakimbia??!!

You are between my lines mkuu!! Wale wavaa madera na mitecno yao utawaokota kama dagaa [emoji23][emoji23]
 
You are between my lines mkuu!! Wale wavaa madera na mitecno yao utawaokota kama dagaa [emoji23][emoji23]
Mkuu,
Dem classic wa kibongo huyo sio masikini, ana hela na kwao wanajiweza.

Dem classic sio njaa kali,

Of course, dem classic atakupendea jinsi unavyojiweka na sio kuwa kupee
 
Mi nishaachana na madem masikini!!

Mtoto wa kishua hawez kua na mawazo kama yako.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mtoto wa kishua umpotezee muda kutongoza hadi jasho? Hivi ile mitongozano ya enzi zile unapiga mbeta mpaka unatoka povu huko bado ipo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mtoto wa kishua umpotezee muda kutongoza hadi jasho? Hivi ile mitongozano ya enzi zile unapiga mbeta mpaka unatoka povu huko bado ipo?
Hata ulaya yapoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…