Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ukiachana na Universal unataka tuwe vitukoSindio tuanzishe Classy yetu. .nasio kufuata Universal Classy...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiachana na Universal unataka tuwe vitukoSindio tuanzishe Classy yetu. .nasio kufuata Universal Classy...
Kama hayo ndio ya kuzingatia embu tueleze kwanini wake wa ma boss wengi wanaliwa na walinzina ma house boy ambao wananuka jasho nakuvalia viatu vya buku miatano vya karume na perfume hata hawaijui , non of those things work.Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ukiachana na Universal unataka tuwe vituko
Asee hizo gharama siwez kumfanyia mtu mmoja, aende zake huko, mi najua yule Real Woman ndo atakula manono ya nchi hadi siku anazeeka na kufa, hao expensive, classy wataendelea kutafunwa km bigijii mwisho wa siku wanachuja wanaisha mimi huyu wangu atabaki anatamba na familia yake wala hana stresa. [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Lusungo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
This thread is full of sh******t, pure nonsense! Mtu mzima na akili zako unawafundisha vijana kutumia gharama kubwa ili kupata ngono, zinaa na uasherati? Unawafundisha watu kutumia gharama kubwa kuitumikia dhambi???
Tokea umeanza kuwapata hao "wadada classy" umefaidika na nini??
Mkuu zinaa haina faida yoyote ile, zinaa ni hasara kwa mwili na roho pia. Vitabu vyote vya dini hapa duniani vinakemea sana zinaa... ikimbieni ZINAA...... fahamu kwamba kila jambo unalolitenda hapa duniani ipo siku utatoa hesabu yake yote.. amini nakuambia ipo siku utalipia kila uchafu unaoufanya hapa duniani.
Wanawake maskini wanajikweza sana, ila naowajua wale wakishua yani hawanaga stress, mnapanga mambo yenu yanaenda fresh, maskini pasua kichwa, vinajifanya vimeshawini BIKOMi nishaachana na madem masikini!!
Mtoto wa kishua hawez kua na mawazo kama yako.
Hayo yote uliyosema ndo pesa, sasa utaachana vipi na pesaHaha guys ongeeni ukweli...
Wanawake hampendi gentle, simple and expensive man?
achana na mambo ya pesa hayo ni baadae...
Ha ha haBongo yote wadada classy wapo.
Nonsense!JF ina thread na majukwaa mengi sana! Pia una uhuru wa kukianzishia thread hiki ulichokiandika sio lazima mimi niandike!! Then hii thread ni kwa watafutaji kula kutafuta nilichokiandika hapo juu hukipati!!
Kama wewe ni mchungaji nenda jukwaa la dini!
Lugha gongana.Hayo yote uliyosema ndo pesa, sasa utaachana vipi na pesa
Warembo wa kibongo hizo mambo hawazijui, perfume walizo zoea ni hizi za kiarabu, tena spray tu, na ni dem mkali.
Mkuu we unaongelea madem wa huko mbele, huku bongo kuwa smart, ghetto safi na kausafiri kako mbona utawakimbia??!!
Wanawake maskini wanajikweza sana, ila naowajua wale wakishua yani hawanaga stress, mnapanga mambo yenu yanaenda fresh, maskini pasua kichwa, vinajifanya vimeshawini BIKO
Mkuu..Ukiachana na Universal unataka tuwe vituko
Mkuu,You are between my lines mkuu!! Wale wavaa madera na mitecno yao utawaokota kama dagaa [emoji23][emoji23]
Mi nishaachana na madem masikini!!
Mtoto wa kishua hawez kua na mawazo kama yako.
Hata ulaya yapoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mtoto wa kishua umpotezee muda kutongoza hadi jasho? Hivi ile mitongozano ya enzi zile unapiga mbeta mpaka unatoka povu huko bado ipo?