Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!


Mkahawa[emoji735] mgahawa[emoji736]
 
Hapa ni kutafuta HELA tu.
 
Upo sahihi kabisa. Mimi nakosa wanawake wengi ninaowataka kwasababu ya kutokujipenda
 
I agree with you 100%. BUT

Men like me don't need cash to land a woman like Beyonce by my hand[emoji57]. If you've got game then you don't need to have money kabisa. Watanzania tupende kuangalia TEDeX talks... Search YouTube law of attraction TEDex. You can have any woman if you just know how women's brains work. If you don't have the time to practice, then tafuta hela, that's the shortcut. In the end you get the same result. Bad thing is, hela zinaweza kukata, hopefully by then umetundika mimba and umeoa. Hapo hakuachi, without that utarudi kwenye ubachelor.

It's not about your wallet, it's all about how smart you are with women.

-callmeGhost
 
Unaishi maisha ya kufikirika..pia si kila mtu anyamudu maisha hayo just because apate wanawake!
 
Unaishi maisha ya kufikirika..pia si kila mtu anyamudu maisha hayo just because apate wanawake!
WanWake nimechomokea tu ila watu wa level unayoitaka nawapata na kuweza kufanya nao dili kwa kutengeneza brand yako mkuu
 
Mkuu wanawake wazuri hawataki mambo yote hayo,wewe unaonyesha hujui kutongoza,mwanamke yoyote yule anavutiwa na mwanamme anaejiamini,..

Style yako wewe utachunwa tu na wanawake, style yako inaitwa "Buzi style",mwanamme kama wewe unawakaribisha wa wanawake wakuchune,pesa wanazopata kwako wanakwenda kutumia na Bad boys like me...

"Beautiful Women likes bad Guys,gangster style kind of guys "
 
Kumbe umewaandikia vijana wenzio, mwanamke anataka mpunga we hata ukiwa na simu ya tochi, kama unampa anachotaka atakuja tu
 
Yote haya kutafuta nini hasa papuchi
 
Exactly!! Cheap is expensive!!
Cheap ni zaidi ya expensive mkuu....unajikuta upo surrounded na vitu/watu wa ajabu kwa sababu umeshindwa kujiweka smart kidogi plus kausafiri kama uwezo unaruhusu
 
We kuwa rafu na Andelee kujiamini uone kamA hujawa mtu wa kutumwa tumwa bila kupata mchongo wowote wa maanA
 
Hii haituhusu tunaopoa wale wa kwa Mtogole...
Haha ni kweli hii inawahusu wabeba original Gucci handbags nafikiri umenielewa!! Kama ujuavyo end justify the means hivyo hawa classy ukiweza hao kwa mtogole unaokota tuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kumbe umewaandikia vijana wenzio, mwanamke anataka mpunga we hata ukiwa na simu ya tochi, kama unampa anachotaka atakuja tu
Mpunga haujitangazi mkuu...gari mavazi kila mtu anayaona...na rahisi mtu kukutafuta sasa hela utakaa barabarani na kutangaza una hela??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…