Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kwahiyo we una offer confidence tu kwa wanawake zako?
 
Mkuu umenifanya nimsome vizur huyo classy women,kwa unaowaongelea wew huku kwetu hawapo.
Ni rahisi kwa mwanaume kua gentlemn ila ni vigumu kwa mwanamke kua classy womn.
 
Hayo ya kuvaa na kunukia karibia wote wanaweza,lakini kubeba majukumu dunia imebadilika kiutafutaji,pesa ni mlima mrefu kuliko unavyofikiri,kwenye kubeba majukumu wengi watakwama
 
Pia kuweni wapole msiwe na tabia ya kuongea mwanaume unatakiwa uwe mkimya unaongea vitu genuine sio kila kitu unajifanya unakijua
 
Hahah hivi hawa wanaoshangaa hayo wanaijua dunia kweli? Teh teh teh ile mikoba wanayobeba ya kariakoo hivi original zake bei wanazijua?!
Boss hayo mambo yapo ila sio kwa mtz wa kawaida.
 
Haha halafu naona watu wanatiririka bila kuangalia aina ya wanawake wanaozungumziwa hapa!! Naona wavaa madera wameanza vidole juu!!
Mkuu kumbe ni kuwanasa watoto wa nexty level, hawa wavaa madela na wakudanga tuachie ss tuwabonyeze
 
Lakini kaka zangu wa kisukuma tuwafanye na zile accent zetu..
Halafu si unajua tunavyokuwa loaded tukiuza mifugo yetu na madini...lol
hahha...sio wasukuma tu(japo wao ni too much).

Kuna kaka yangu Mtu mkubwa kabisa na vidato vikubwa kukuzidi...Ana ile accent halisi ya kiarusha na meno yetu yale.

Ukikutana naye sehemu mkaanza kuongea unasema huyu mvuta bangi tu....hizi za asili haziishi kiurahisi.
 
How can you be confident while your not well equiped!

Being well equiped inakurahisishia hata kujiamini..

Ila bado inategemea unamface nani? wengine hawahitaji uwe equiped...
Jaribu kwangu nione kama uko navyo. ..
 
You can be simple kwa original brands!! Oris watch looks simple but very expensive!! Rayban eyewear looks simple but expensive!! Simple means no manakshi nakshi hadi unaumiza macho ya watu!!


Tukija kwenye mavazi.
Lacoste, Ralph Lauren, Tommy..
Look simple on guys but huwa wanaonekana a little bit next level.
 
Km ni hvyo wanaume wa vjjn wasingeoa ht perfume huko haipo fala kwel ww u
 
Basi bora awwe hivo na awe si muongeaji kupita kiasi chaaaa
 
Kwahiyo we una offer confidence tu kwa wanawake zako?
Mambo ya "offer" ni mambo mengine na mambo ya "approaching" ni mengine,mleta mada katanguliza "material" katika "stretegy" zake za kumu "approach" mwanamke,mimi napingana nae,...

Ninachofikiria mimi "confidence" ya mwaname ndio inayo "matter" katika kutongoza,mambo mengine yanafuata baadae,"maneno mazuri hutoa nyoka pamgoni",waswahili wamesema.....😉
 
How can you be confident while your not well equiped!

Being well equiped inakurahisishia hata kujiamini..

Ila bado inategemea unamface nani? wengine hawahitaji uwe equiped...
Ukisoma comments za wengi humu utagundua wabongo wana shida ktk comprehension! Nimeweka category zote ila mtu ana grasp meaning kulingana na hali yake!! Mtu anakwambia yeye ni hela na kuhudumia but ameahindwa elewa the bottom paragraph ya thread imehusu nini! Tupo inferior mno emotionally kiasi ya kushindwa simple compression kwenye mijadala!!
 
Lusungo if I may..
Niongezee kuhusu maongezi. Unless kama ume mention bila ku elaborate.
Mazungumzo ya mtu matters a lot. Unakuta mtu kavaa na kupendeza kama yote, but whatever comes out of their mouth?!!
Only God Knows..
Akiwa na maongezi mazuri na hana hayo material things?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…