Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HiYeah
Haijabadilika chochote kama demu unamtokea leo , leo leo anakwambia sawa nimekubali alafu hamna connections yoyote before umeopoa malaya hapo!Dunia imebadilika sana mkuu!
Mmh nyie wadada wa JF si hua mnatuaminisha mko vizuri kiuchumi lakiniMi nimependea hapo kwenye majukumu ya mwanaume!
Mwanaume ni lazima ujue majukumu yako ukifeli hapo ( kwenye kipengele cha ugentleman) storee zako zote zinakuwa hazina mvuto.....yaan ni mvutoless
Hadi kutembea?
Siwezi kujikweza wala kujishusha kwa ajili ya mwanamke aliyezaliwa na mwanamke, mwanamke nikiongea naye dk 5 tu najua anaishia wapi, so hata sina haja ya kujikweza, na pia huyo classy anajiona classy kwasababu mwanaume amemruhusu kuwa classy, so i dictate the terms, i dont follow trends.
Yeah my lady is my queen, i live for her, fight for her, provide for her, all other classy ladies aint sh*tAcha hizo bhana!
And don't forget to send her flowers and some chocolate once in a while! [emoji16]
What a waste!! Hizi ndo generalizations zenu losers!! Nani kakwambia nalipa kodi? Teh teh teh no wonder mnachagua vichaa!!
Brilliant man
Wee mwenyewe maskini ....full kujishaua tu hapaMi nishaachana na madem masikini!!
Mtoto wa kishua hawez kua na mawazo kama yako.
Acha unafiki..pesa ndio kila kituHaha ongeeni ukweli...
Wanawake hampendi gentle, simple and expensive man?
achana na mambo ya pesa hayo ni baadae...
Marioo kuwajua hutumii miwaniWanawake maskini wanajikweza sana, ila naowajua wale wakishua yani hawanaga stress, mnapanga mambo yenu yanaenda fresh, maskini pasua kichwa, vinajifanya vimeshawini BIKO
Unaota wewe!....endelea shemeji“Ukisoma kitabu na hukielewi achana nacho... ujue wewe sinhadhira ya mwandishi”
Haaahaaahaaaa....hivi unafikiri ni kweli kinachosemwa hapa na huyoo? Hakuna kitu hapo ptuuHeeee slow down man, first of all I’m past age ya kuwa na “boy”
Second, Any dumb person will take your advice. Mwenye akili timamu na malengo atakuachia upupu wako mwenyewe. Just because ulienda NY ukapulizia perfume ya $30 ukapewa attention na some so called “classy” gold diggers haimaanishi ndo kila mtu can fall in to your crap, . Pulizzzz some of us are too old for this ridiculous type of eye-catching from a man[emoji1304]
Usipoteze mda wako hapoWewe hujitambui kabisa, hata "signature" yako inakusuta kutokana na huu upupu ulioandika kwenye hii thread yako.