Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Mi nimependea hapo kwenye majukumu ya mwanaume!

Mwanaume ni lazima ujue majukumu yako ukifeli hapo ( kwenye kipengele cha ugentleman) storee zako zote zinakuwa hazina mvuto.....yaan ni mvutoless
Mmh nyie wadada wa JF si hua mnatuaminisha mko vizuri kiuchumi lakini
 
Aiseee kuwa smart,kuwa kiume,ila kwenye ugentlemen hapo nimechukua toto nyingi sana , wengine nawakimbia.
Mpaka kuna mke wa anasema atamuacha mume wake aje kwangu.
Sema mleta uzi umefanya expensive sana. Please don't fake ,kama una uwezo fanya Ila kama huna pesa ishi maisha yako tafuna wa level zako.
 
Siwezi kujikweza wala kujishusha kwa ajili ya mwanamke aliyezaliwa na mwanamke, mwanamke nikiongea naye dk 5 tu najua anaishia wapi, so hata sina haja ya kujikweza, na pia huyo classy anajiona classy kwasababu mwanaume amemruhusu kuwa classy, so i dictate the terms, i dont follow trends.


Acha hizo bhana!
And don't forget to send her flowers and some chocolate once in a while! 😁
 
What a waste!! Hizi ndo generalizations zenu losers!! Nani kakwambia nalipa kodi? Teh teh teh no wonder mnachagua vichaa!!

So wewe unaeandika guidelines za kupata wanawake ndo winner???? Hahahahaaa.... umekaa ukapinda mgongo kuandika jinsi ya kupata wanawake kwa nini usingeandika jinsi ya kupara kiongozi bora tukuone una ahueni?
Like I said earlier boldly and clear, clown of a month. Underlined
 
Unajua kila mtu anakuja na fanya hili umpate mwanamke wa hivi, fanya vile umpate mwanamke wa vile, sasa cha kujiuliza ni hawa waleta uzi wana inferiority complex au psychopathic behavior tendency
 
Haha ongeeni ukweli...

Wanawake hampendi gentle, simple and expensive man?

achana na mambo ya pesa hayo ni baadae...
Acha unafiki..pesa ndio kila kitu

Eti gentle ni utanashati..nacheka kihaya " ta ji ri"
 
Heeee slow down man, first of all I’m past age ya kuwa na “boy”
Second, Any dumb person will take your advice. Mwenye akili timamu na malengo atakuachia upupu wako mwenyewe. Just because ulienda NY ukapulizia perfume ya $30 ukapewa attention na some so called “classy” gold diggers haimaanishi ndo kila mtu can fall in to your crap, . Pulizzzz some of us are too old for this ridiculous type of eye-catching from a man[emoji1304]
Haaahaaahaaaa....hivi unafikiri ni kweli kinachosemwa hapa na huyoo? Hakuna kitu hapo ptuu

Njoo pm nikupe series yake...utatapika kichefu chefu kitupu!
 
Back
Top Bottom