DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Nisiwachoshe sana na salamu niende Moja Kwa moja kwenye mada
Iko wazi kwamba no free lunch or dinner kama hutaki kuamini ngoja siku uje kusukumwa tope🤣
Siku hizi vijana wanaamini kwenye kamari na bahati nasibu,
Ila katika vitu vimeleta uvivu katika kujituma pamoja na fikra basi ni kamari.
Vijana siku hizi wanaamini kwenye kusafisha nyota😬😬😬, ili tu wapate kushinda kwenye michezo ya kubahatisha ndo maana hata idadi ya matangazo ya waganga wanaosafisha nyota yako kibao.
Mtu unamkuta na makaratasi kibao kama mwendawazimu kutwa kushinda kwenye makasino, maisha ni ya kuungaunga anachokipata chochote anabeti. Sahizi kamari inachukua adi shillings 200
(Jackpot za kichina) na kukuacha mkavu😬😬
Ndo maana hata idadi ya vibaka inaongezeka vijana hawataki kuifanya kazi.
Kamari haijawekwa wewe ushinde Kwa sababu ile ni biashara watu wanataka faida na faida Yao ni wewe kugongwa😃
Njia ya kupata pesa ni kupambana kamari sio Dili hata kidogo sahz mpaka watumishi wa serikali wanabeti🤔 Sasa tutatoboa kweli Kwa staili hii.
Na vipi kuhusu vizazi vijavyo?
Nawasilisha