Kijana huwezi tajirika kwa kuuza popcorn Makumbusho

Ni vizuri kuja na suluhisho mbadala na sio kuponda kazi za watu
 
Kwamba uweke akiba ya elfu 3 kila siku bila kukosa hata siku moja kwa miaka mitano? Uyo msukuma toroli unajua anapata shilingi ngapi? baada ya kutoa matumizi yake unajua anabakiwa na shilingi ngapi? Bado hajaumwa(atahitaji hela ya matibabu na hataenda kibaruani) , hajalipa kodi ya geto, umeme n.k nyie motivesheni spika bhana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh ina maana Dar ishakuwa saturated since 2000's!

Japo hii mentality ya kuhitaji connection naona tunayo sana sisi wabongo. Mbona wenzetu wasomali, wakenya, wa nigeria na wale wa west africa hua wanaenda nchi za watu, hakuna wanaemjua, wanapambana mpaka wanatoboa

Lakn sisi wabongo mtu kutoka tu hapo mwanza kuja dar anahtaji connection!!
 
Kuna mambo mengi sana kwa mtu au kijana kutoboa.Wengine ni mazingira aliyokulia au anayokaa kwani upeo wake umefikia hapo na hana mtu wa mfano(role model wake ni hao hao wauza popcone) ,wengine in elimu na exposure kwa sababu kuna watu wanaanzia chini ,anafanya biashara mbalimbali mpaka anafanikiwa.nikupe mfano,mtu anaanza na popcone ,mwishoe anapanda kidogo anatafuta mtaji wa kununua mahindi ya popcone anawauzia wengine na huku naye anauza nk mdogo mdogo anakuwa supplier wao badala ya kwenda kununua mbali na wenzie ndio soko lake nk .Kwa hiyo mambo ni mengi sana ,wengine hata ungekuwa na connection bado asingetoboa kwani kuna ambao ni wavivu tu na hawana nidhamu na anachokifanya.Kuna watu wako vijijini na wanato boa kwani ndio wanakuwa supplier wa pembejeo,duka na kuuza vitu nk.Kwa hiyo kuna wengine pale hata uwape mtaji kiasi gani ,wahatoboi kwanza ndio umemoteza utamkuta segerea.Anyway huwa naona mifano mingi sana.Tujifunze kwa jamii za kihindi ,mtoto mkunje angali mdogo ,anafundishwa kazi,displine na hata kuendesha business za ndugu au familia.
 
Bora wauza popcorn na maji kuliko panyaroad. Kwa hiyo unataka waache kuuza hizo bidhaa hata kama zina faida ndogo wajiunge na genge la panyaroad au?
 
we mwalimu upo katavi mambo ya vijana wa makumbusho yanakuhusu nini?
 
Brother usiwalaumu kunamengi san nyuma yao amboyo wew hata hujayafahamu wew mshukuru mungu kwako wewe suala la akili kila mtu na mungu wake
 
Kwa huu mfumuko wa bei tunza hela miaka mi5 uone kama itakuja kutosha kununua hata pkpk. Purchasing power ya Tsh inashuka kila uchwao!!
 
5000 kwa siku ni kubwa sana kwa kijana aliyetoka Kigoma, Mtwara , Sumbawanga na mikoa mingine maskini.
Mikoa tajiri huwezi anauza hizo takataka [bisi]ambazo si chakula na zimechanganywa na marangirangi ya sumu toka vingunguti, pale makumbusho.

Mchaga, Mhaya, Mnyakyusa, Msukuma wa Mwanza[siyo wasukuma pori wa Chato na kwengineko] huwezi kuta anauza pale makumbusho na kuwakera abiria kwa kuwawekea mbele ya macho na kupanda kwenye mabasi na kulazimishia watu.
 
Kwa miaka 5 huyo mwendesha mkokoteni , hapigi mademu wa kona baa na kwa wahaya pale Mwananyamala?
Haumwi?
Hali?
Halipi kodi?
Hafiwi?
Halipi nauli?
Hanywi pombe na wamama wauza uji pale makumbusho?
In short mwendesha mkokoteni hata akiumwa huwa hawezi kuwa na hela zaidi ya ya kumtibia, dawa lazma achangiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…