Kijana huwezi tajirika kwa kuuza popcorn Makumbusho

Pakti moja ya popcorn ni 1000

1000 mara pakti 100 kwa siku ni sawa na laki moja.

Laki moja kwa mwezi ni sawa na milioni tatu.

Mbona ujira mkubwa sana huu?
 
Pakti moja ya popcorn ni 1000

1000 mara pakti 100 kwa siku ni sawa na laki moja.

Laki moja kwa mwezi ni sawa na milioni tatu.

Mbona ujira mkubwa sana huu?
Kimbembe ingia front uone kaa la mawe [emoji23][emoji23]
 
Biashara yoyote bila ubunifu ni changamoto
 

Ukweli mchungu japo watakwambia Bakharesa alianza kwa kuuza ice cream za kutembeza miaka ya 70.
 
Uko sahihi mkuu,kusave hela ndogondogo hadi itimie mtaji wa milioni kadhaa sio rahisi.
Ukianza kusave ikifika laki 2 tu shida inajitokeza unaitumia,ukianza kusave tena kodi ya nyumba inaisha unaanza kudaiwa na mwenye nyumba unamlipa,baadae unaanza tena upya inakuwa ni mchezo huo huo na miaka inakatika.
 
Toa solution
 
bro sio wote tuwe matajiri nani atakuwa masikini?


ukitaka kugombana nao waambie ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…